Wewe ni mwanamke wa aina gani?

Wewe ni mwanamke wa aina gani?

Unaweza kutimiza majukumu yako ila mkeo anao uwezo wa kuwafanya watoto wakudharau ama wakugeshimu.

Tambua huu ukweli.
Watoto hukua na maneno ya kiambiwa hukoma. Wanaume fanyeni sehemu yenu kama baba, mtazamo waachie watoto, kama mama ataamua kupindisha upepo, usishindane...maana hapa chini Hautashinda... Ila baadae sn watakuelewa tu.
 
Hiyo namba moja mara nyingi mpaka kuwe na sababu.
Mkuu hakuna hyo justification ya kufanya hvyo,maana anaye athirika zaidi kisakolojia ukubwani ni huyo mtoto ambaye utakuwa umemjaza maneno ya hovyo.. jifunzeni maana ya childhood traumas.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom