Kasiano Muyenzi
JF-Expert Member
- Feb 3, 2018
- 13,972
- 22,922
- Thread starter
- #41
Sio poa kulipa kisasiNAWE
USIWAHESHIMU
Sio poa kulipa kisasiNAWE
USIWAHESHIMU
Njoo uchukue zawadi yakoExactly haijalishi babayao atakuwa mwema au kivuruge ni wajibu wa watoto kumuheshimu babayao
HaswaaWaefeso 6;1-3 Watoto Wawaheshimu Baba na Mama
Umkomoi baba Yao Bali unaharibu future Yao,Nikija kuwa na watoto baba yao akizingua nitachagua upumbavu tu hakuna namna
Kama umewajua na wewe ni mmoja waoWaswahili wa Pemba hujuana kwa vilemba.
Sio tu hivyo Tena unamuombea mabaya yampate hata kifo. Hivyo ndo roho za wanawake.Mkuu,nimechagua upumbavu...wewe niache nao tu,am good
Ulishawahi kuwa mwanamke?Sio tu hivyo Tena unamuombea mabaya yampate hata kifo. Hivyo ndo roho za wanawake.
Niliachana naye akaniambia ananiombea nife kabisaUlishawahi kuwa mwanamke?



Sasa huyo mmoja ndio unajumuisha wote mzee?Niliachana naye akaniambia ananiombea nife kabisa![]()
No mie sio mpembaKama umewajua na wewe ni mmoja wao
Unadhani wewe peke yako ndo unachagua option 2. Zaidi ya 75perc chaguo lao kama lako mtoto mzuri.Sasa huyo mmoja ndio unajumuisha wote mzee?
Sasa chaguo namba mbili wapi?Unadhani wewe peke yako ndo unachagua option 2. Zaidi ya 75perc chaguo lao kama lako mtoto mzuri.
Inawezekana hakusoma uzi ila anecoment tu 😂Usituchanganyie mambo mkuu,uzi haujaongelea kifo ila wewe ndio umeleta hizo mambo
Nimetkosea ni option namba 1. Katika hii option ndo unawafanya watoto wamdharau baba Yako. Hivyo hata kumuombea mabaya ipo included hapa. Video na mabaya yote maana upendo hamna tena. Kwenye reseach Kuna assumption huwezi kupeleka questionares Kwa sample ya mil 40 ya wanawake. Hivyo idadi Yako wapo wengi sanaSasa chaguo namba mbili wapi?
Kama ni kwenye uzi nimechagua namba moja,sio mbili...ambalo sio kifo
Usituchanganyie mambo mkuu,uzi haujaongelea kifo ila wewe ndio umeleta hizo mambo
Mkuu uzi wako nimeusoma. Najaribu kuweka sana Joanah anielewe mtoto mzuri huyu.Inawezekana hakusoma uzi ila anecoment tu![]()
Mkuu rudi kwa hiyo post ukaedit sasaNimetkosea ni option namba 1. Katika hii option ndo unawafanya watoto wamdharau baba Yako.