Wewe ni mwanamke wa aina gani?

Wewe ni mwanamke wa aina gani?

Natamani wanaume wote watimize majukumu yao ya ubaba kwa watoto wao.Watoto wao wajivunie kua wanababa
Nmechagua kua namba mbili,
Kama baba yake hatotaka tuwe familia,mwanangu sitompandikiza chuki natamani amjue baba yake na ukaribu wao ue mkubwa.
Inategemea namna mnavyoishi, au mlivyoachana na baba yao. Ila utafanya vema kama hutawagawa watoto na baba yao.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom