Wewe ni Mwanamke au Mwanaume?

Washawasha

JF-Expert Member
Aug 7, 2006
16,652
13,076
Habari ya leo nilikuwa nataka wewe mwenyewe ujijue kama ni mwanamke au mwanaume angalia jibu hapo chini








Endelea kuangalia chini




Endelea tena kuangalia chini





Samahani kwa kuchelewesha jibu lakini endelea kuangalia chini



Kha! we vp sio chini hapa angalia jibu chini ya kitovu chako
 
hii ni crap nyingine aisee,the finest ukowapi uje jamvini labda utapata cha kumjibu huyu.mie nlidhani kasahau jinsia yake kumbe sio.nimekosa cha kujibu bro,ila ukweli ulinchanganya
 
Back
Top Bottom