Simeone
JF-Expert Member
- Jul 4, 2018
- 720
- 739
Ndohoo kutola KATAA NDOA, NDOA NI MANYANYASOIla wazee wa kataa ndoa wanajizolea point kila siku.
Kuna vitu vinaumiza sana wanadoa tunapitia.
Ndohoo kutola KATAA NDOA, NDOA NI MANYANYASOIla wazee wa kataa ndoa wanajizolea point kila siku.
Kuna vitu vinaumiza sana wanadoa tunapitia.
Da!!! kila siku nasema,mimi nilipigwa tukio kama hili nikiwa nimefunga ndoa ya kanisani na tukiwa na watoto wa nne{ just imagine},,,na akaahamisha duka kusikojulikana na akaenda kupanga kusikojulikana,,,nashukuru yalinitokea nikiwa bado na nguvu,sikuwa naumwa,,,wala kukatwa mguu,,,niliumia sana!!!...ila nilitafuta nauli nikakwea pipa nikaenda mpaka ulaya kuonana na ashraf hakim anifundishe namna ya kukabiliana na hawa masubian!! kwa sasa nimefuzu,simnunulii mwanamke ata vocha ya buku,alaf nikisikia hamu natafuta kahaba,nampa elf 5 namyandua naondoka hamna kuzoeana!!! sina at girl friend man!!! yaani nimesahau mpka kutongoza,,,nikijisikia kuinjoi,naenda bar nakaa counter na walev wenzangu nikitosheka home!!! [mtaani wamenipachika jina VLADMIR PUTIN!!
Hapana Mkuu. Shida inakuwa niniUmewai wasikia wale wanaotupa watoto?
Hongera kwa kuweza kukabiliana na changamoto Mkuu. Mitihani tumewekewa sisi WANAUME Mkuu. Pole sana kamanda tupo pamojaDa!!! kila siku nasema,mimi nilipigwa tukio kama hili nikiwa nimefunga ndoa ya kanisani na tukiwa na watoto wa nne{ just imagine},,,na akaahamisha duka kusikojulikana na akaenda kupanga kusikojulikana,,,nashukuru yalinitokea nikiwa bado na nguvu,sikuwa naumwa,,,wala kukatwa mguu,,,niliumia sana!!!...ila nilitafuta nauli nikakwea pipa nikaenda mpaka ulaya kuonana na ashraf hakim anifundishe namna ya kukabiliana na hawa masubian!! kwa sasa nimefuzu,simnunulii mwanamke ata vocha ya buku,alaf nikisikia hamu natafuta kahaba,nampa elf 5 namyandua naondoka hamna kuzoeana!!! sina at girl friend man!!! yaani nimesahau mpka kutongoza,,,nikijisikia kuinjoi,naenda bar nakaa counter na walev wenzangu nikitosheka home!!! [mtaani wamenipachika jina VLADMIR PUTIN!!
Mnooo aisee tena mtu yuko kitandani mahututi aisee
ushauri wako ni wa kweli,lakini,sitaki kuoa tena kwani ninaweza kuoa balaa jipya!!!!,,,kumbuka nina watoto wa 4,wa kwanza yupo chuo kikuu{mlimani],wa pili sekondari,wa 3 prymary wa mwisho vidudu!! sasa ninawea kuoa ndio!!!! kumbuka watoto wanafanya vizuri mno huko mashuleni!! sasa je??? nikioa alaf kumbe ni SUBIAN,lije liwaue au liwaroge watoto wangu kwa ajili tu ya MATAMANIO ya mimi baba yao itakuwaje????.....kumbuka nina nyuma mbili hapa mjini na mashamba mikoa ya jirani na dar!! ujue,mwanamke akija akaona una mali anaanza kudondosha udenda kama fisi!!!,alaf ina maana nikifa mali zangu nazo na yeye agawiwe{ watoto wangu wapunjwe!!!!!} no way,,,ata shetani ataniona mimi ni KABICHI!!Pole Ila hiyo kununua malaya achana nayo utapata mikosi na kuua focus ebu Fanya kitu kinaitwa reborn
Zaliwa upya na uishi katika usafi Sana utapata chaguo lako sahihi
hamna noma!!Hongera kwa kuweza kukabiliana na changamoto Mkuu. Mitihani tumewekewa sisi WANAUME Mkuu. Pole sana kamanda tupo pamoja
ushauri wako ni wa kweli,lakini,sitaki kuoa tena kwani ninaweza kuoa balaa jipya!!!!,,,kumbuka nina watoto wa 4,wa kwanza yupo chuo kikuu{mlimani],wa pili sekondari,wa 3 prymary wa mwisho vidudu!! sasa ninawea kuoa ndio!!!! kumbuka watoto wanafanya vizuri mno huko mashuleni!! sasa je??? nikioa alaf kumbe ni SUBIAN,lije liwaue au liwaroge watoto wangu kwa ajili tu ya MATAMANIO ya mimi baba yao itakuwaje????.....kumbuka nina nyuma mbili hapa mjini na mashamba mikoa ya jirani na dar!! ujue,mwanamke akija akaona una mali anaanza kudondosha udenda kama fisi!!!,alaf ina maana nikifa mali zangu nazo na yeye agawiwe{ watoto wangu wapunjwe!!!!!} no way,,,ata shetani ataniona mimi ni KABICHI!!
nilishamsamehe siku hiyo alivokuwa akibeba v2 kwani nilikuwa jirani naongea na majirani na nikapewa taarifa kwamba mwenzako anajaza vi2 kwenye fuso,mimi nikampigia simu huyo mwanamke,nikamwambia akimaliza kazi ya kufaulisha vitu kwenye fuso aniambie nirudi kulala,yaani sikwenda!! alipomaliza nikarudi ndo mpaka leo...kuhusu maisha yenye ladha siyataki,,,kwani ata YESU alikataa hiyo ladha,,ndo manake mpaka anasepa alikuwa SINGLE!!!!kwani aliona alichofanyiwa ADAM kwa HAWA, SAMSON alichotendewa na DELILA,,,da!!!! mzee YESU akatafakariiiiiiii akaona bora akae peke yake!!!......MARIA MAGDALENA mwenyewe alikuwa anajisogeza sana kwa YESU,,lakini YESU alikuwa akiteleza kama CLEATUS CHAMA [MWAMBA wa LUSAKA]OK pole Sana Ila Muombe Mungu kwa imani yako upate serenity utulivu wa ndani.
Mali na pesa ni muhimu Ila pia wewe kuishi katika maisha yenye ladha ni muhimu zaidi.
Endelea kutengeneza utulivu wa ndani serenity -calmness ili watoto wasome na kufikia malengo.
pia samehe huyo mwanamke na muombee Amani ikiwa alifanya ubaya basi kajifanyia mwenyewe
Cherish every single moment
nilishamsamehe siku hiyo alivokuwa akibeba v2 kwani nilikuwa jirani naongea na majirani na nikapewa taarifa kwamba mwenzako anajaza vi2 kwenye fuso,mimi nikampigia simu huyo mwanamke,nikamwambia akimaliza kazi ya kufaulisha vitu kwenye fuso aniambie nirudi kulala,yaani sikwenda!! alipomaliza nikarudi ndo mpaka leo...kuhusu maisha yenye ladha siyataki,,,kwani ata YESU alikataa hiyo ladha,,ndo manake mpaka anasepa alikuwa SINGLE!!!!kwani aliona alichofanyiwa ADAM kwa HAWA, SAMSON alichotendewa na DELILA,,,da!!!! mzee YESU akatafakariiiiiiii akaona bora akae peke yake!!!......MARIA MAGDALENA mwenyewe alikuwa anajisogeza sana kwa YESU,,lakini YESU alikuwa akiteleza kama CHAMA [MWAMBA wa LUSAKA]
Nimekuelewa mkuu!!,,,,amani inarudi sasa,kwani kwa sasa sifokewi,sinyimwi unyumba{ kwani niposingle,nikihitaji huduma nanunua]..wa2 wengi hawaelewi kwa nini KANISA KATOLIKI linazuia mapadre kuoa,,sio kwa MUNGU amekataza no!!,,ni kwamba waliona wakioa hawatafanya huduma kwa amani!!...ebu fikiria tukio kama la mr IBU limtokee mchungaji mwenye mke!! kutakuwa na HUDUMA kweli hapo,na hili kanisa lazima life!!Maisha yenye ladha , I mean kuwa na Amani ndani ya moyo kwako
Kama Una Amani hilo ni jambo jema Sana .
Tukiweka pembeni hii ishu ya mr ibu, mimi naona dunia imemsikiliza mwanaume na imempuuzia mwanamke kwa muda mrefu sana, acheni tu sasa hivi iwasikilize na wanawake wamevumilia sana hatimaye wamechoka manyanyaso
Kwahiyo Mkuu,unamtaja Mungu na wakati huohuo unanunua hudumaNimekuelewa mkuu!!,,,,amani inarudi sasa,kwani kwa sasa sifokewi,sinyimwi unyumba{ kwani niposingle,nikihitaji huduma nanunua]..wa2 wengi hawaelewi kwa nini KANISA KATOLIKI linazuia mapadre kuoa,,sio kwa MUNGU amekataza no!!,,ni kwamba waliona wakioa hawatafanya huduma kwa amani!!...ebu fikiria tukio kama la mr IBU limtokee mchungaji mwenye mke!! kutakuwa na HUDUMA kweli hapo,na hili kanisa lazima life!!
Sasa wewe uishi na wazazi wako vzr, watoto wako hawana wazazi wa kuishi nao vzr.. huoni tatizo?Kama unataka kuishi kwa amani na furaha, hapa duniani, kitu cha msingi kabisa ni kushikamana na Mungu muda wote na kuishi na wazazi wako vizuri.
Achana na habari za kuoa kabisa. Kama ni watoto tafuta mtu uzae nae kwa makubaliano maalum tena kwa mkataba chini ya wa mwanasheria.
Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
nimewahi kutaka kumpiga mashine mwanamke huku nikiwa hoi kitandani.Kivipi Mkuu na wewe wakati huo upo kitandani hoii una umwa.
Mind you, huyo unayemuita binti yake sio mwanaye wa kumzaa bali ni mtoto wa Kuchukua Mitaani/ Vituo vya Yatima ambaye IBU alimlea tangu mdogo.
Hawa watoto tunachukua Vituo vya Yatima wengine wamelaaniwa by nature, ni vema kufuatilia historia ya wazazi wa mtoto kabla hujaokoteza SHUMILETA.
Rip Mr Ibbu
Hii ndio ajenda ya wazungu kueneza ushoga.Bado hamtaki kukataa ndoa ?