Wewe mwanaume, umejifunza nini juu ya kifo cha Mr Ibu, msanii wa Nigeria?

Da!!! kila siku nasema,mimi nilipigwa tukio kama hili nikiwa nimefunga ndoa ya kanisani na tukiwa na watoto wa nne{ just imagine},,,na akaahamisha duka kusikojulikana na akaenda kupanga kusikojulikana,,,nashukuru yalinitokea nikiwa bado na nguvu,sikuwa naumwa,,,wala kukatwa mguu,,,niliumia sana!!!...ila nilitafuta nauli nikakwea pipa nikaenda mpaka ulaya kuonana na ashraf hakim anifundishe namna ya kukabiliana na hawa masubian!! kwa sasa nimefuzu,simnunulii mwanamke ata vocha ya buku,alaf nikisikia hamu natafuta kahaba,nampa elf 5 namyandua naondoka hamna kuzoeana!!! sina at girl friend man!!! yaani nimesahau mpka kutongoza,,,nikijisikia kuinjoi,naenda bar nakaa counter na walev wenzangu nikitosheka home!!! [mtaani wamenipachika jina VLADMIR PUTIN!!

Pole Ila hiyo kununua malaya achana nayo utapata mikosi na kuua focus ebu Fanya kitu kinaitwa reborn

Zaliwa upya na uishi katika usafi Sana utapata chaguo lako sahihi
 
Hongera kwa kuweza kukabiliana na changamoto Mkuu. Mitihani tumewekewa sisi WANAUME Mkuu. Pole sana kamanda tupo pamoja
 
Pole Ila hiyo kununua malaya achana nayo utapata mikosi na kuua focus ebu Fanya kitu kinaitwa reborn

Zaliwa upya na uishi katika usafi Sana utapata chaguo lako sahihi
ushauri wako ni wa kweli,lakini,sitaki kuoa tena kwani ninaweza kuoa balaa jipya!!!!,,,kumbuka nina watoto wa 4,wa kwanza yupo chuo kikuu{mlimani],wa pili sekondari,wa 3 prymary wa mwisho vidudu!! sasa ninawea kuoa ndio!!!! kumbuka watoto wanafanya vizuri mno huko mashuleni!! sasa je??? nikioa alaf kumbe ni SUBIAN,lije liwaue au liwaroge watoto wangu kwa ajili tu ya MATAMANIO ya mimi baba yao itakuwaje????.....kumbuka nina nyuma mbili hapa mjini na mashamba mikoa ya jirani na dar!! ujue,mwanamke akija akaona una mali anaanza kudondosha udenda kama fisi!!!,alaf ina maana nikifa mali zangu nazo na yeye agawiwe{ watoto wangu wapunjwe!!!!!} no way,,,ata shetani ataniona mimi ni KABICHI!!
 
OK pole Sana Ila Muombe Mungu kwa imani yako upate serenity utulivu wa ndani.

Mali na pesa ni muhimu Ila pia wewe kuishi katika maisha yenye ladha ni muhimu zaidi.

Endelea kutengeneza utulivu wa ndani serenity -calmness ili watoto wasome na kufikia malengo.

pia samehe huyo mwanamke na muombee Amani ikiwa alifanya ubaya basi kajifanyia mwenyewe

Cherish every single moment
 
Ukoo wako mzima umekosa healthy families za kutumia kama mfano kwenye maisha yako binafsi????

Hata humu duniani bado kuna watu wana familia nzuri tu encouraging some of us kuwa na zetu.... refer Tony Elumelu
 
OK pole Sana Ila Muombe Mungu kwa imani yako upate serenity utulivu wa ndani.

Mali na pesa ni muhimu Ila pia wewe kuishi katika maisha yenye ladha ni muhimu zaidi.

Endelea kutengeneza utulivu wa ndani serenity -calmness ili watoto wasome na kufikia malengo.

pia samehe huyo mwanamke na muombee Amani ikiwa alifanya ubaya basi kajifanyia mwenyewe

Cherish every single moment
nilishamsamehe siku hiyo alivokuwa akibeba v2 kwani nilikuwa jirani naongea na majirani na nikapewa taarifa kwamba mwenzako anajaza vi2 kwenye fuso,mimi nikampigia simu huyo mwanamke,nikamwambia akimaliza kazi ya kufaulisha vitu kwenye fuso aniambie nirudi kulala,yaani sikwenda!! alipomaliza nikarudi ndo mpaka leo...kuhusu maisha yenye ladha siyataki,,,kwani ata YESU alikataa hiyo ladha,,ndo manake mpaka anasepa alikuwa SINGLE!!!!kwani aliona alichofanyiwa ADAM kwa HAWA, SAMSON alichotendewa na DELILA,,,da!!!! mzee YESU akatafakariiiiiiii akaona bora akae peke yake!!!......MARIA MAGDALENA mwenyewe alikuwa anajisogeza sana kwa YESU,,lakini YESU alikuwa akiteleza kama CLEATUS CHAMA [MWAMBA wa LUSAKA]
 
nilishamsamehe siku hiyo alivokuwa akibeba v2 kwani nilikuwa jirani naongea na majirani na nikapewa taarifa kwamba mwenzako anajaza vi2 kwenye fuso,mimi nikampigia simu huyo mwanamke,nikamwambia akimaliza kazi ya kufaulisha vitu kwenye fuso aniambie nirudi kulala,yaani sikwenda!! alipomaliza nikarudi ndo mpaka leo...kuhusu maisha yenye ladha siyataki,,,kwani ata YESU alikataa hiyo ladha,,ndo manake mpaka anasepa alikuwa SINGLE!!!!kwani aliona alichofanyiwa ADAM kwa HAWA, SAMSON alichotendewa na DELILA,,,da!!!! mzee YESU akatafakariiiiiiii akaona bora akae peke yake!!!......MARIA MAGDALENA mwenyewe alikuwa anajisogeza sana kwa YESU,,lakini YESU alikuwa akiteleza kama CHAMA [MWAMBA wa LUSAKA]

Maisha yenye ladha , I mean kuwa na Amani ndani ya moyo kwako

Kama Una Amani hilo ni jambo jema Sana .
 
Nimekuelewa mkuu!!,,,,amani inarudi sasa,kwani kwa sasa sifokewi,sinyimwi unyumba{ kwani niposingle,nikihitaji huduma nanunua]..wa2 wengi hawaelewi kwa nini KANISA KATOLIKI linazuia mapadre kuoa,,sio kwa MUNGU amekataza no!!,,ni kwamba waliona wakioa hawatafanya huduma kwa amani!!...ebu fikiria tukio kama la mr IBU limtokee mchungaji mwenye mke!! kutakuwa na HUDUMA kweli hapo,na hili kanisa lazima life!!
 
Kwahiyo Mkuu,unamtaja Mungu na wakati huohuo unanunua huduma
 
Kama unataka kuishi kwa amani na furaha, hapa duniani, kitu cha msingi kabisa ni kushikamana na Mungu muda wote na kuishi na wazazi wako vizuri.

Achana na habari za kuoa kabisa. Kama ni watoto tafuta mtu uzae nae kwa makubaliano maalum tena kwa mkataba chini ya wa mwanasheria.

Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
Sasa wewe uishi na wazazi wako vzr, watoto wako hawana wazazi wa kuishi nao vzr.. huoni tatizo?
 
Mind you, huyo unayemuita binti yake sio mwanaye wa kumzaa bali ni mtoto wa Kuchukua Mitaani/ Vituo vya Yatima ambaye IBU alimlea tangu mdogo.

Hawa watoto tunachukua Vituo vya Yatima wengine wamelaaniwa by nature, ni vema kufuatilia historia ya wazazi wa mtoto kabla hujaokoteza SHUMILETA.
Rip Mr Ibbu
 
Bado hamtaki kukataa ndoa ?
Hii ndio ajenda ya wazungu kueneza ushoga.

Ndoa ni taasisi ya kulea watoto kwenye maadili na utu. Hata kiongozi mzuri kwenye jamii ni yule mwenye familia bora.

Kuna mwanamke ukioa unahisi upo peponi. Omba upate mwanamke mwenye akili.
 
Back
Top Bottom