Satirical Yet Awesome
JF-Expert Member
- Oct 11, 2023
- 338
- 652
Hawa 80s naweza kuwatetea.Hamna kizazi kilichooza kama kizazi Cha 80-95's
Kweli, lakini kwasababu nimepost video moja haimanishi mtaani hatuoni haya matukio.Mmoja hawezi wakilisha wote.
Sema kizazi cha 80 ndo kinapenda Sana ngono hatari.Hamna kizazi kilichooza kama kizazi Cha 80-95's
InasikitishaNamshukuru sana mungu nimezaliwa kweny kipindi ambacho wanawake walikuwa wanajitambua na wanajiheshimu sana.
Namshukuru sana mungu kwasababu nimezaliwa na mwanamke anayejiheshimu, anayejitambua na anayejua thamani ya utu wake.
Video hapo chini inaonesha mtoto akienda kumuondoa mama ake aliyekuwa anabambiwa na kushikwa matako kweny party.
View: https://twitter.com/NoCapFights/status/1733616568838627580?t=GvSDcxJAihi3kk1me-Rztw&s=19
Inakuaje mtoto anamheshimu mama yake kuliko hata mama anavojiheshimu??
Mzazi ndo anajukumu la kumlinda mtoto asijiingize kweny mambo ya kumfachulia heshima, na sio mtoto ndo amlinde mzazi.
Eti mtoto ndo analinda heshima ya mama ake, stupidity!
Kinaentertain mambo ya kijinga kipo bize kutana kizazi Cha 95-2005, madhaifu yao wanaangushia kwa wengnSema kizazi cha 80 ndo kinapenda Sana ngono hatari.
80's ndo uchafu ulipo 90's ni mwendelezo tuHawa 80s naweza kuwatetea.
Ila ukianza 90s kuendelea, ni aibu.
Mbaya sanaNamshukuru sana mungu nimezaliwa kweny kipindi ambacho wanawake walikuwa wanajitambua na wanajiheshimu sana.