Ekyoma
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 2,177
- 2,805
Habari zenu wana jamvi...
Ndugu yenu nimekuwa kwenye mahusiano na mtoto wa mwenye nyumba apa nnapopanga ila demu mwenyewe anakaa chuo.
Wiki mbili zilizopita baba mwenye nyumba alimwajiri msichana wa kazi yani bonge la demu vimaziwa vimesimama tako lipo kweli ingawa halifikii la wema nikaamua kujaribu bahati demu akakubali siku mbili baada ya kukubali akanambia ila ana bwana wake na yupo kinondoni kwa iyo anampenda bwana wake na mimi nikamwambia nina demu ila sikumwambia kama ni mtoto wa bosi wake tukakubaliana kila mtu kueshimu mahusiano ya mwenzake.
Sasa kimbembe juzi bana demu wangu kurudi ijumaa ni kawaida yake kila mwisho wa wiki kama kawaida usiku akaja room kwangu ile sijakaa sawa mara beki tatu naye ndani nikamtambulisha kuwa yule ndiye mchumba wangu bila kugusia mahusiano yake na mimi akaondoka zake nikafanya yangu mchumba akarudi ndani kwao iyo jana beki tatu kaanzisha varangati si mchezo kawambia wazazi wa demu wangu kila kitu mimi baada ya kupata taarifa nikachomoka zangu taarifa nilizonazo hasubuhii baba mwenye nyumba kufunga chumba changu na makufuli mapya apa sielewi nifanyeje aisee naogopa kujitokeza nikapigishwa ya mkeka sijui nifanyeje aisee ushauri tafadhari

)... Bali UTAPIGWA VIBOKO MIA, ndo adhabu ya WAZINIFU hiyo 