venossah
JF-Expert Member
- Apr 30, 2016
- 2,744
- 3,997
Ha,ha,haaaa......baada ya kupata taarifa nikachomoka zangu taarifa nilizonazo hasubuhii baba mwenye nyumba kufunga chumba changu na makufuli mapya apa sielewi nifanyeje aisee naogopa kujitokeza nikapigishwa ya mkeka sijui nifanyeje aisee ushauri tafadhari
Watt wa kiume mna balaaa, alichokifanya bb mwenye nyumba kimenifurahisha.
N way, ni hv huyo mdingi kwani anaushahidi kuwa unatoka na mwanae? We mkatae sema hutoki nae wala nn, mgeuzie kibao huyo hg sema anakutaka ukamkataa ndo mana analeta visa.
Ila uwe unatumia akili na ww,kwan huwez kwenda gh na huyo dem? Km umeanza kushikwa muda huu ukioa utaweza kuchepuka ww? Acha......