Wewe mwana JF una taaluma gani?

Leo unataka shahada siku ingine utaomba attachment ya vyeti sijui unataka wakuwaajili kusafisha vikombe vya babu.
Mi nina shahada ya ulezi kwa familia.
Nina ya BA Ed

Safi mkuu, nilitaka tu tufahamiane, maana pia connection na kusaidiana kunatokea huku huku
 

well said mkuu,nakupa ten over ten
 

Hahah, u wish!
 
Certificate of Educatn...japo si shahada, lakini ndo taaluma yangu...
 

well said mkuu,hapo alipaswa kuulza taaluma,
 
Wakuu let me make this clear,
From beginning nilijua tu uzi huu ungeleta matatizo ya kutoelewana na ma comrade wenzangu wa hapa JF. Wengine wametoa commentz za kubeza, wengine wametukana, wengine pia wameweza kutaja taaluma/fani zao. Pengine ni lugha niliyotumia kuwasilisha swali langu ndio imetafsiriwa vibaya, I intended to ask
"Wewe mwanaJF una taaluma gani?" Na si kubeza au bagua wanajamii ambao hawana shahada. Nakubaliana kabisa na mtazamo wa wengi kwamba elimu si ujuzi, lakini fikirieni ndugu zangu, kutambua fani/taaluma ya mwenzako pia inaweza ikawa na manufaa kwako kwa mfano let's say labda kuna mwanaJF perhaps anataka kujenga nyumba unakuta kuna ma architect humu ambao wanaweza kumshauri etc. Nasisitiza, naomba nisieleweke vibaya, lengo langu lilikua nikujua taaluma mbali mbali za wanajamii na si kubeza elimu za watu. Sisi ni Great Thinkers, sidhani kama malumbano na kurushiana maneno ya kejeli vitasaidia kujenga, wala kuPM matusi sidhani kama ni uungwana. Well said then, niwatakie weekend njema nyooote!
 
Hapa ndo tunajua mbwembwe nying za jm kumbe wengi wao watoto wa sekondari tu wanaonuka maziwa ndo maana hata michango yao inanulka maziwa tu.masters in business management(cooperate management)

Mkuu na ww ndo walewale huna hata hyo masterz wenye hvo v2 wame2lia 2.kuna wa2 wana cpa,masterz,phd za ukwel plus gpa za kufa m2 but wame2lia 2.ntakupa laki moja ukiatach hyo masterz yako hapa jf
 

Kdogo sahz umeeleweka next time ukiwa unaweka uzi kabla ya kupost uwe una ureveiw mwenyewe ili kujua jamii husika wata react vp au watakuchukulia m2 wa aina gan?
¤Viva jf ¤
 

Kdogo sahz umeeleweka next time ukiwa unaweka uzi kabla ya kupost uwe una ureveiw mwenyewe ili kujua jamii husika wata react vp au watakuchukulia m2 wa aina gan? Kumbe ulijua uzi utaleta matatizo ila ukauweka kiubishi.grow up mkuu
¤Viva jf ¤
 
Mimi ninayo shahada ya mazingaumbwe.
 
Nina Bsc in HCCM(Hating CCM) from the University of Umaskinini.
 
Tunatumia fake identities/names kwa hiyo tegemea taaluma fake pia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…