Wewe kaka wewe, toka huko PM njoo uniahidi hapa

cutelove

JF-Expert Member
Oct 3, 2017
3,317
7,509
Jamani kuna mkaka humu huwa tunapiga stories sana pm ila nimepata mashaka kwa ahadi anazo niahidi

1. Nikimkubalia atakuwa ananipa hela ya matumizi kila siku si chini ya elfu 30

2. Nikimkubalia ataninunulia gari na nyumba Tanga

3. Nitasimamia kituo cha mafuta moja ya shell pale Tanga

Wadau nimekuwa na mashaka na ahadi zake hizi nzito kama ni kweli mpaka muda mwingine nakuwa na mashaka na ahadi zake

Naomba aje hapa anithibitishie kama kweli ni ahadi za kweli na kama ni kweli nipo tayari kuwa mke wake wa 4
 
Achana naye baby, mpotezee. Njoo PM nikunong'oneze
Jamani kuna mkaka humu huwa tunapiga stories sana pm ila nimepata mashaka kwa ahadi anazo niahidi

1,Nikimkubalia atakuwa ananipa hela ya matumizi kila siku si chini ya elfu 30

2,Nikimkubalia ataninunulia gari na nyumba Tanga

3,Nitasimamia kituo cha mafuta moja ya shell pale Tanga

Wadau nimekuwa na mashaka na ahadi zake hizi nzito kama ni kweli mpaka muda mwingine nakuwa na mashaka na ahadi zake

Naomba aje hapa anithibitishie kama kweli ni ahadi za kweli na kama ni kweli nipo tayari kuwa mke wake wa 4

Sent using Jamii Forums mobile app
 
We mkubalie tu sio lazima atekeleze aliyokuahidi nafikiri Kama wote walio kubandua walikupa vyote ivyo leo hii ungekua una nyumba zaidi ya elfu na shamba la ekari elf mbili kwa ajili ya kupaki hayo magari..

Sasa mpaka sasa huna hata kimoja na hujawahi kupata bahati yakuhaidiwa ata uongo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jamani kuna mkaka humu huwa tunapiga stories sana pm ila nimepata mashaka kwa ahadi anazo niahidi

1,Nikimkubalia atakuwa ananipa hela ya matumizi kila siku si chini ya elfu 30

2,Nikimkubalia ataninunulia gari na nyumba Tanga

3,Nitasimamia kituo cha mafuta moja ya shell pale Tanga

Wadau nimekuwa na mashaka na ahadi zake hizi nzito kama ni kweli mpaka muda mwingine nakuwa na mashaka na ahadi zake

Naomba aje hapa anithibitishie kama kweli ni ahadi za kweli na kama ni kweli nipo tayari kuwa mke wake wa 4

Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbe wewe ni very cheap yaani elfu 30 kwa siku!! Endelea na huyo size yako anakufaa! Wengine tumezoea kutoa zaidi ya Laki kwa siku na vikombezo vingine zaidi wewe endelea na MATONYA wako huyo!
 
Back
Top Bottom