Wewe je, UNGEFANYAJEEEE.........??

Wewe je, UNGEFANYAJEEEE.........??

Kutembea na nnya kwa muda mpaka utakapo pata sehemu ya kutawaza si tatizo
 
ha ha ha nimependa sana comments ya page ya Yuda msaliti, mimi ningechana Bible popote pale na kujisafisha. By the way bibilia haipeleki mtu mbinguni bali wenye Moyo safi.
 
ha ha ha nimependa sana comments ya page ya Yuda msaliti, mimi ningechana Bible popote pale na kujisafisha. By the way bibilia haipeleki mtu mbinguni bali wenye Moyo safi.
Na matendo
 
Ntatumia Boxer, Soksi, Lesso, Ntakata kipande cha ndan kwenye mfuko wa suruali, kipande cha shati... Huwez kosa vyote hivi
 
Ntatumia Boxer, Soksi, Lesso, Ntakata kipande cha ndan kwenye mfuko wa suruali, kipande cha shati... Huwez kosa vyote hivi
Hahahahaha hahahah we jamaa kiboko... Hasa hapo kwenye mfuko wa suruali sasa naimagine kile kitendo cha kusimama si kwenye bonde la ufa kutatapakaa mavi [emoji90] [emoji90] [emoji90]
 
Natembea na mavi tu, nasevu vyote Bible na Pesa.

Kwani tatizo liko wapi bana...
 
Natembea na mavi tu, nasevu vyote Bible na Pesa.

Kwani tatizo liko wapi bana...
Tatizo lipo ukikaa, mavi yatatokea kwa nyuma, na unajua hali anayokuaga nayo mtu mzima akinuka mavi....?

Kwanza ataanza kujitenga kutoka kwa wengine
 
Back
Top Bottom