Sasa forum ya mapenzi na mahusiano unataka tumjadili kikwete au?!!
Ndo hapo sasa ninaposhangaa na mie!!!!!!
Mapenzi ni Mapenzi na masuala ya kijamii ni ya kijamii.
Unataka tujadili siasa,uchumi na maendeleo kwenye mitandao ya kijamii na Mapenzi ajadili nani?
ha,ha,., Madame B najua umeguswa kwenye fani lazima ung'ake
Ndio maana JF wameweka majukwaa husika! Kama wewe ni mzee wa mipododo unaenda huko na kama siasa unabaki kwenye siasa! Au wewe una zungumzia facebook?
wakati ndio sasa Unajua hili suala ni nyeti sana,
Mapenzi ni kitu kingine bwana asikwambie mtu,kama mapenzi Yananunua nyumba, Yanasomesha watoto, Yanakuweka mjini, Yanakununulia gari, Yanakupeleka shopping,anataka tuujadili uchumi ili utufanyie nini?
NAHISI KAPOTEA JUKWAA.
atakuwa na stress za kukosa kazi ya sensa
ha ha pple,ungejua ,,anyway naona nliofkisha ujumbe haujafka vile nlivofikria haya endeleen kushusha vbomu vyenu naona kimewakuna sanaatakuwa na stress za kukosa kazi ya sensa
Mapenzi yamenifanya nikaenda canada mwaka 2005 na last november nilikuwa norway 4 two months kwa expenses zao na amini usiamini kuna mtoto nishamtumia invitation letter anakuja october kwa magharama yake. So chezeiya mapenzi wewe!
Yani hapa ndo utaona wanaume wa siku hizi walivyo tena unajitapa shame upon you guyMapenzi yamenifanya nikaenda canada mwaka 2005 na last november nilikuwa norway 4 two months kwa expenses zao na amini usiamini kuna mtoto nishamtumia invitation letter anakuja october kwa magharama yake. So chezeiya mapenzi wewe!