Mkuu shem huyo !!Wamanga wanasumbua sana hapa mjini.
Maisha hayapo sawa kabisa........acha niende kwa fundi nikazibe pancha baiskeli yangu.Haaa haaa haaa leo kwa mara ya kwanza katika historia ya maisha yangu nimeliona gali maarufu duniani na lenye thamani kubwa BUGATI VEYRON kwa macho yangu sio video au picha nimeliona kwa macho yangu ndani ya Dar es salaam...iseeee watu wana hela bana![]()
Nimecheka mpaka machozi yametoka. In fact kuna ukweli, teja atamuuzia nani mfano hizo side mirrors? Gari yenyewe moja tu nchi nzimaHili hata ukilitelekeza sehemu wezi wa magari hawalitaki saaaana wataiba speaker za redio.....
Na hasira watakwangua rangi tu
Hahaha ....Hili hata ukilitelekeza sehemu wezi wa magari hawalitaki saaaana wataiba speaker za redio.....
Na hasira watakwangua rangi tu
Davis boss wke na lembebez....kweli au unatania bugati zinatengenezwa kwa oda kma sikosei......sasa anunue gari ya 1.2m$ karibia 2.5bn ya kwetu halafu mpambe wke anatembelea noah c itakua maajabuMkuu nahisi davi mosha analo kama sikosei
Iam serious no kiddin..siku chache zilizopita lembebez posted some expensive toys nyumbani kwa davisDavis boss wke na lembebez....kweli au unatania bugati zinatengenezwa kwa oda kma sikosei......sasa anunue gari ya 1.2m$ karibia 2.5bn ya kwetu halafu mpambe wke anatembelea noah c itakua maajabu