Wewe huna ila wenzako wanazo

MT255

JF-Expert Member
May 3, 2012
3,606
4,913
Haaa haaa haaa leo kwa mara ya kwanza katika historia ya maisha yangu nimeliona gali maarufu duniani na lenye thamani kubwa BUGATI VEYRON kwa macho yangu sio video au picha nimeliona kwa macho yangu ndani ya Dar es salaam...iseeee watu wana hela bana
18f62fe9b66fd22ff15755853b6f44b7.jpg
 
Halina namba mkuu kila mtu analishangaa hilo gali
 
Ilo ni IT la mwarabu mmoja hivi Tz hakuna lami ya kupita hiyo kila sehemu vumbi na matuta
 
Hiyo Gari Mbona iko mjini siku nyingi na sio IT wala nini. Ni gari la mmoja wa watoto wa Bakhresa. Mara ya kwanza niliiona Buguruni jamaa alikuwa anatoka pale kiwandani kwao Opposite Tazara.
 
Hiyo Gari Mbona iko mjini siku nyingi na sio IT wala nini. Ni gari la mmoja wa watoto wa Bakhresa. Mara ya kwanza niliiona Buguruni jamaa alikuwa anatoka pale kiwandani kwao Opposite Tazara.
Duh aisee watu wanajua show off maana hilo gari kua bongo hata huli enjoy
 
Ni vyema kujua hizi makitu ili ukiikaribia upite kwa adabu na kupunguza mbwembwe ....ukichubua rangi tu utalia hadi kikwenu dadadeki .....
 
Mm nililionaga linaingia msikiti wa pale bugurun kwa bakhresa but nilitaka kulipiga pix nikaona nitaonekana mshamba.....
 
Haaa haaa haaa leo kwa mara ya kwanza katika historia ya maisha yangu nimeliona gali maarufu duniani na lenye thamani kubwa BUGATI VEYRON kwa macho yangu sio video au picha nimeliona kwa macho yangu ndani ya Dar es salaam...iseeee watu wana hela bana
18f62fe9b66fd22ff15755853b6f44b7.jpg
Mkuu nahisi davi mosha analo kama sikosei
 
Dam it. Mi corolla ya 1990's nasugua nayo lami na kazini daily watu wanaburuza bugati. Ntamtafuta huyo jamaa nimwombe raundi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom