Wewe endelea kujipodoa sana uone kama utaolewa

Wewe endelea kujipodoa sana uone kama utaolewa

Sexless

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2017
Posts
27,640
Reaction score
65,112
Mwanamke mwenye sifa za kuolewa huwa ana kiasi ktk kila kitu ikiwemo kujipodoa.

Wanaume wakimuona mwanamke kajipodoa sana waanakwepa kumuoa ili kuepuka mzigo wa gharama za kununua vipodozi.

Mwanamke umejipaka mirangi utadhani jengo la chekechea.

Mwanamke umejipulizia mipafyumu mpk unanuka badala ya kunukia. Bado na miwigi umejitwisha kichwani.

Mikucha na mikope yote ya kubandika, mwanaume gani atakuoa?

Ukitaka kuolewa punguza kujipodoa.

Ni ushauri tu.

Ni mimi kungwi la kitaifa Sexless
 
Back
Top Bottom