kassim kimoby
JF-Expert Member
- May 28, 2018
- 613
- 490
Tunatkiwa kuoa mwanmke na sio mwenye jinsia yke.
Kuna wale wanapaka wanja kama barabarabya lamiMwanamke umejipaka mirangi utadhani jengo la chekechea
Kuwa natural Kama mademu wa kizunguKwahiyo tunyoe au tubaki na vipilipili vyetu mkuu?
Sent from my SM-A715F using JamiiForums mobile app
Mawigi ni kama Helmet, yanavuliwa hayo[emoji23][emoji23][emoji23]Yote tisa mi mawigi hapana kwa kweli mengi ni machafu labda Yale ya Bei mbaya.
Kun Yale makubwa manywele yanakuwa makubwa halafu kichwa kidogo sijui mtu analalaje
[emoji23][emoji23][emoji23]UmenichekeshaYote tisa mi mawigi hapana kwa kweli mengi ni machafu labda Yale ya Bei mbaya.
Kun Yale makubwa manywele yanakuwa makubwa halafu kichwa kidogo sijui mtu analalaje
😂😂😂Mawigi ni kama Helmet, yanavuliwa hayo[emoji23][emoji23][emoji23]
Siyo kuepuka mzigo wa gharama, bali ni kuepuka uhuni..Wanaume wakimuona mwanamke kajipodoa sana waanakwepa kumuoa ili kuepuka mzigo wa gharama za kununua vipodozi.
Asante mkuu. Na huu ndiyo ukweli. Hakunaga kahaba mchafuSiyo kuepuka mzigo wa gharama, bali ni kuepuka uhuni..
KE anayejipodoa kupitiliza na umalaya ni kama kidole na kucha, vinaendana!
Punguza mashamsham hayo mamaBas me sitakaa nipate ndoa ya pili
Akijipodoa uso unatangulia mbele kiwili wili nyumaIla mleta mada Kama una wivu na Ke!kwa vile we ukijipodoa wanakunanga
[emoji23][emoji23] watu mna manenoAkijipodoa uso unatangulia mbele kiwili wili nyuma
We hujaona makeup za hivyo?
😂🤣🤣🤣🤣 Halafu wanavyokitegua hicho kiwiliwili Sasa!utasema waliugua polioAkijipodoa uso unatangulia mbele kiwili wili nyuma