Aaliyyah
JF-Expert Member
- Mar 20, 2022
- 20,263
- 49,203
😂😂😂😂Yote tisa mi mawigi hapana kwa kweli mengi ni machafu labda Yale ya Bei mbaya.
Kun Yale makubwa manywele yanakuwa makubwa halafu kichwa kidogo sijui mtu analalaje
😂😂😂😂Yote tisa mi mawigi hapana kwa kweli mengi ni machafu labda Yale ya Bei mbaya.
Kun Yale makubwa manywele yanakuwa makubwa halafu kichwa kidogo sijui mtu analalaje
Yaaani
OK. Vipi kuhusu kuolewa, imekuwa ngumu sana wanawake kuolewa siku hizi?Wanaume linapokuja suala la kuoa wanachunguza sana. Tofauti na wale wa kupita nao siku moja.
Kuolewa siyo ngumu kwa wenye sura na tabia njema (ikiwemo hii ya kutojipodoa sana)OK. Vipi kuhusu kuolewa, imekuwa ngumu sana wanawake kuolewa siku hizi?
Hahah sasa ukute hilo wigi kalivalia juu ya nywele alisukaga ile wenyewe wanaita twende kilioni,hiyo harufu inayotoka hapo nakwambia utajuta kumsogelea.Yote tisa mi mawigi hapana kwa kweli mengi ni machafu labda Yale ya Bei mbaya.
Kun Yale makubwa manywele yanakuwa makubwa halafu kichwa kidogo sijui mtu analalaje
Kwanini umnyanyapae hivyo kwani angekuhudumia kulikua na tatizo ganKuna Mwanamke Nmekutana Nae Leo Hospital(Ni Nesi),Ukimuangalia Alivyojipodoa Yaan ZUWENA Huyu Hapa...
Halafu Alitaka Kunihudumia,Nkakataa..
Loh,Nkamuonea Huruma Bwana Ake..
Kuna Wanaume Tuna Roho Ngumu Sana.
Bear 😂K gaani hiiyo ?
Naskia baridi MchumbaBear 😂
Jipodoe me Napenda hivo ujue😀😀😀
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Yote tisa mi mawigi hapana kwa kweli mengi ni machafu labda Yale ya Bei mbaya.
Kun Yale makubwa manywele yanakuwa makubwa halafu kichwa kidogo sijui mtu analalaje
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Waeleze kungwi
Naskia baridi Mchumba
Naja japo siwapendi wanyakyusaNjoo
Itakuwa alimpata mvaa wigi😀😀[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]