Aaliyyah
JF-Expert Member
- Mar 20, 2022
- 20,263
- 49,203
Mje kunichamba hapašJipodoe me Napenda hivo ujue
Mje kunichamba hapašJipodoe me Napenda hivo ujue
Waaapi mremboMje kunichamba hapaš
Kwenda zakoNaja japo siwapendi wanyakyusa
Bear kama Bear šKwenda zako
Mm Jamani kope zinaniudhi unakuta mwingine zimekaa kama fagio hasa Yale marefu aisee zinisamehe tu šWaaapi mrembo
Bhasi weka hata makucha.Mm Jamani kope zinaniudhi unakuta mwingine zimekaa kama fagio hasa Yale marefu aisee zinisamehe tu š
Deni ganiBhasi weka hata maku ha.
Na Usisahau lile deni
Ona sasa Yani unakataa makope hadi deniDeni gani
Dah sawaOna sasa Yani unakataa makope hadi deni
Nilisubiri tag... Mwezi sasaDah sawa
Muda huuNilisubiri tag... Mwezi sasa
Harufu ya pafyum aliyopuliza ilikua inanipa maumivu ya tumbo,nisingeweza kukaa nae kwa muda akinitibuKwanini umnyanyapae hivyo kwani angekuhudumia kulikua na tatizo gan
šššBora anyoe au kuweka dawa kawaida ila mawigi ni machafu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kumbeššmaana unakuta mtu kichwa kidogo kama nyoka kwa sababu manywele makubwa na wale weny vichwa vikubwa wanakuwa kama Simba dume ...
Kwahiyo tunyoe au tubaki na vipilipili vyetu mkuu?Je aliyesuka katani kiufupi Mwanamke anayesuka katani na anayesuka nywele bandia hawafai wote
š¤£š¤£Kumbeššmaana unakuta mtu kichwa kidogo kama nyoka kwa sababu manywele makubwa na wale weny vichwa vikubwa wanakuwa kama Simba dume ...
Hapana hayo madude ni uchafu kwa wanwake kabisa