Wewe Baba Yako Mdogo Angefanyaje?

Hao ni wanao au wa baba yako mdogo?
 
Mwanamke kakimbia kumuuguza Mumewe, Mume akifariki tu, Mwanamke atarudi Nyumbani!! Ni kuomba Mungu tu akujalie mwenza anaejitambuwa!!
 
...Asante sana Mkuu Black Cofee kwa kuielewa nakuifupisha na kuifafanua mara moja!
Kichwa ni Chepesi zaidi ya ndugu zangu wanaosema wanaisoma lakini hawajailewe kitu!
Hapo ndipo Waafrika wengi tunapokwama!
....
 
Miaka 54 ya huyo mama bado hadi ana michepuko ? Kweli age is just a number lol, ilikua ni muda wa kutulia na kumuuguza mumewe na kusubiri wajukuu ila yeye analeta mambo ya ujana wakati ni mtu mzima.
....Kuna ndugu mpaka wanaingiza mambo ya Kiswahili!
Kwamba familia yao itakuwa imetupiwa kitu!!
Maana kwa hali ya kawaida familia yenye Mabinti Sita Waliiolewa, leo watano wameachika, inafikirisha kidogo.
Baba mdogo anasema kwa vile yeye sio Mwanaume wa kwa kuachwa na mabinti wa familia hiyo, ana Amani....!!
 
Ndio yale yale....when poverty enters through the door love escapes through the window. Jamani narudia tena wanawake hawapendi wanahitaji pesa na kuliwa mbususu tuu
Kweli Mkuu, Mkuu Mzabzab. Baba mdogo ni Shahidi wa hili! Ni maumivu.. !!
 
Hao ni wanao au wa baba yako mdogo?
....Wa Kwangu. Si ni nimeeleza hapo kMkuu. Mimi kwangu mamaa alifariki kwa ajali, mungu amrehemu, wa baba mdogo mama yao kaingia mitini....kwa extended familia zetu hizi za kibantu watoto kuzaliwa miaka inayofanana fanana sio jambo la ajabu sana, ukichukuliwa kuwa wstoto wa Baba mdogo ninaweza kuwa nimekosea kidogo umri wao...!!!
 
Nimejaribu kuelewa stori lakini wapi ..
..
Pole mkuu Ii Tz, Hebu jaribu kurudia kuisoma mara mbili tatu ama soma summary ya mkuu black coffee, natumaini utaielewa. Mchango wako ni Muhimu, Mkuu!
 
Mwalimu wangu wa primary siku moja alisema darasani, ukikuta familia Ina watoto wengi wa kike wapo nyumbani siyo sehemu nzuri ya kuoa utajuta sana baadaye.traditional marriage ilikuwa poa sana, lakini sasa hivi unakutana nao barabarani, shule,makazini ukiona matako, miguu shape nzuri unafikiri umepata kumbe umepatikana. Atavutiwa na pesa zako zikiisha hapo ndo unaona true color.
 
tupo weng nimerudia mara tatu hakuna daa huu andishi nomq
...Ile tu kwamba kunawengi wameilewa Story na hata kui sumarize Mkuu Kuuuu! Labda tu umeisoma haraka harska ama hukutaka tu kuilewa Mkuu!

Soma zSummari ya Mkuu Black Coffee halafu utoe mawazo yako kuhusu hili mkuu. Mchango unahitajika...
 
..
Pole mkuu Ii Tz, Hebu jaribu kurudia kuisoma mara mbili tatu ama soma summary ya mkuu black coffee, natumaini utaielewa. Mchango wako ni Muhimu, Mkuu!
Asante sana mkuu nimeelewa summary ya mwamba hapo juu
 
nimepotea mkuu.sijajua mtu mwenye stroke anawezaje kuriamsha dude la namna hiyo.

By the way,huyo mama kuna huduma mhimu anaikosa hapo kwa mzee.umeshasema ana stroke na kisukari.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…