Weupe ni Uzuri tosha

Weupe ni Uzuri tosha

KakaJambazi

JF-Expert Member
Joined
Jun 5, 2009
Posts
18,830
Reaction score
12,318
Mi huwa sishangai nikimwona msichana amebabuka kwa mkorogo,,ki ukweli, weupe ni uzuri tosha.
Embu chukulia huyu mdada hapa chini kama angekua mweusi tiii,,nani angemtambua Tanzania na hata kupewa tenda ya kutangaza matangazo?

warda.jpgwarda1.jpgwarda5.jpg
Diys!: mpigieni kura WARDA WALID ktk swahili fashion week kama... stylish female personality
 
Weupe ni kila kitu jamani..weupe ni an added advantage kwa almost kila kitu. Sorry kama nitakuwa nimeudhi watu!
 
kitu black berry bana kwenye paja utakuta choclet colour yayayayaya
 
Hiiyo ni yako mwenyewe, Sisi vi2 black original inatosha. Hata ueupe ukiwa natural uko poa sana ila wa mkorogo hapana
 
Jichubue na wewe ili upendwe, ndo wkt wenyewe huu D. Cameroun anatarajia kuja tz. USIPOTEZE MUDA ANZA SASA CHANGANYA CAROLITE NA MMA YAKE, WEKA JICK, SABUNI YA UNGA, VIM, MAJI YA BATTER (ACID).
 
Wadada wakipiga mkorogo mnachonga, sasa unafikiri nani hataki deals kama hizo wacha watu wajikoroge bwana, kumbe inalipa
 
Tuwe wa kweli wandugu. Weupe unaongeza mvuto.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom