The Father of All
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 10,995
- 13,512
Siku Mwai Kibaki alipobaka uchaguzi na kumuamuru jaji Samuel Kivuitu kumtangaza, dunia ilishangaa. Ilishangaa zaidi baaye Kivuitu alipoulizwa na mwandishi wa habari kuwa nani alishinda. Alijibu 'sijui' sawa na ambavyo Kivuitu wetu toka Mbeya atajibu siku moja.
Hii dunia hasa Afrika, we acha tu. Watu wazima wanajitoa ufahamu na kufanya utoto na mchezo kwa mambo serious.