Wet dream mfululizo

Mmang'ati

Senior Member
Jan 8, 2011
184
49
Wakuu kwa muda wa miezi minne sasa nimeacha kwa makusudi kabisa kusex sababu ikiwa kumkosa patner wa ukweli(mwaminifu).sasa mekuwa na tatizo la kuota kisha namaliza karibu kila cku je itaniletea madhara?
 
subiri madaktari au wanasaikolojia
 
Wakuu kwa muda wa miezi minne sasa nimeacha kwa makusudi kabisa kusex sababu ikiwa kumkosa patner wa ukweli(mwaminifu).sasa mekuwa na tatizo la kuota kisha namaliza karibu kila cku je itaniletea madhara?

hakuna madhara, lakini nadhani sheikh yahya atakusaidia zaidi, nasikia unatembea na majini ya kike
 
Hakuna madhara...Lakini kama alivyosema kapotolo hapo juu, kama una imani za majini inasemekana umezini na jini ikikutokea hivyo!
 
Na mbona mara zote nnapochapa mzigo wote unaishia kwenye shuka ukiwa na ujazo uleule utakiwao kwa @goli? Hao majini hawana vikombe vya kubebea vimiminika?
 
Kwani wenye vikombe wa siku hizi huwa wanakubali kubeba hivyo vimiminika?
Utasikia, "angalia usimalizie ndani jamani, naogopa mimba" :rain:
 
Back
Top Bottom