Neylu
JF-Expert Member
- May 28, 2012
- 2,938
- 1,847
Hata mie sijaipenda kabisaa..!!Nimelike post yako mkuu; Mods wametuondolea like na wametuwekea "Thanks" , nilikua natoa tu dukuduku langu kua hio "thank" mie siitaki 😉
Hata mie sijaipenda kabisaa..!!Nimelike post yako mkuu; Mods wametuondolea like na wametuwekea "Thanks" , nilikua natoa tu dukuduku langu kua hio "thank" mie siitaki 😉
Kama una ngoma ya Ed Sheeran ya perfect naiomba mkuu....maana kwenye mitandao nimejaribu kuidownload yanakuka pop ads za mabloggerNgoja nikausikilize ufundi wa ed sheeran kwenye upapasaji wa nyuzi za acoustic guitar
Ni wimbo gani huo bibie nami ni uskize japo kidogo?Asante jamani nautafuta sasa hivi.
Hawa vijana niliwamiss sana.
Kuna kipindi Fulani wimbo wao mmoja ulinibembeleza nikajiona Mpyaa maana niliusikiliza mwezi mzima non stop.
Siku moja Niko kwenye public transport basi si wakaupiga kwenye radio dah niliuimba wote mwanzo mwisho kustuka watu wote kimyaaa ,sijui nn kilitokeampaka naumaliza nilikuwa nalia kama jinga vile.
West life watabaki kileleni.![]()
Kama una ngoma ya Ed Sheeran ya perfect naiomba mkuu....maana kwenye mitandao nimejaribu kuidownload yanakuka pop ads za mablogger
Tayari mkuuKama una ngoma ya Ed Sheeran ya perfect naiomba mkuu....maana kwenye mitandao nimejaribu kuidownload yanakuka pop ads za mablogger
Aisee hujaona anaimba kwa maringo anaanza na verse "i still remember when were naked"Yupi? Achen uzushiiii
Daah pamoja sana mzee baba,very much thanksTayari mkuu
😁😁😁 fool again tafuta lyrics zakeNi wimbo gani huo bibie nami ni uskize japo kidogo?
Smart guy
Chezea kitu fool again, kaangalie lyrics zake😂😂😂😂Inaonekana una hisia sana wewe.
Kifua chako kizuri... kama ni wa kwenye avatar 😋😋😋😋😋
Asante jamani nautafuta sasa hivi.
Hawa vijana niliwamiss sana.
Kuna kipindi Fulani wimbo wao mmoja ulinibembeleza nikajiona Mpyaa maana niliusikiliza mwezi mzima non stop.
Siku moja Niko kwenye public transport basi si wakaupiga kwenye radio dah niliuimba wote mwanzo mwisho kustuka watu wote kimyaaa ,sijui nn kilitokea😁 mpaka naumaliza nilikuwa nalia kama jinga vile.
West life watabaki kileleni.😂
Ok thanks ngoja ntauchekifool again tafuta lyrics zake
Yale yalikua maoni yangu; na haya ni maoni yako - Hayanisumbui, hivyo na wewe usisumbuke na maoni yangu. Mbona ni kawaida sana binadamu kua na mitazamo, na matakwa tofauti mkuu?hamnaga jema nyie watu hiki kilichowekwa sasa kilililiwa kwa muda mrefu na members wa humu wewe ulikuwa wapi kipindi watu wanaweka maoni ?kama hutaki piga kimya huwezi kumridhisha kila mtu hapa duniani maana hiko utachokitaka wewe watatokea wengine pia kusema kuwa hawakitaki so maisha yaendelee
RC COMPUTER na kaka Mohammed night Kali hivi na love storyEnzi hizo nikisikiaga vibao vyao wakati vinatoka Fool Again na My Luv(Coast to Coast) mwaka 2000 Milenium vikipigwa kwenye Chombeza Time na Aboubakar Sadiq kwa fujo au Rose Chitala kichwa ilikuwa inachanganyikiwa.
Nakumbuka iyo fool again tulikuwa tunaisikia na kuiimba kama "folage" hahaa



Enzi hizo nikisikiaga vibao vyao wakati vinatoka Fool Again na My Luv(Coast to Coast) mwaka 2000 Milenium vikipigwa kwenye Chombeza Time na Aboubakar Sadiq kwa fujo au Rose Chitala kichwa ilikuwa inachanganyikiwa.
Aisee hujaona anaimba kwa maringo anaanza na verse "i still remember when were naked"
. mark?? It cant beeAisee hujaona anaimba kwa maringo anaanza na verse "i still remember when were naked"