Iko vizuri! Wao na Ed Sheraan ni namba zingine kabisa 👍Cant wait aise ngoja nikaipakueee
13SEPTEMBER
👍(Like)Bonge moja wa ngomaaaaaaa
"I will try to be a better man"
13SEPTEMBER
kuna mwanakikundi mmoja wa westlife si rizki. ila sio shida sana siku hizi maana ni kama kizazi hiki kimeshakubali ushoga.Jamani kwa wale wapenzi wa pop music na Rock wa zamani kidogo mtakua mnaikumbuka ile bendi ya vijana kutoka northern Ireland. Wametoa ngoma mpya kwa kushirikiana na ed sheeran jnaitwa Better man.
Check it Out!
Cjakupata vzr mkuu(Like)
Mie hio "Thanks" kwamba ndio like sijaielewa bado
Nimelike post yako mkuu; Mods wametuondolea like na wametuwekea "Thanks" , nilikua natoa tu dukuduku langu kua hio "thank" mie siitaki 😉Cjakupata vzr mkuu
13SEPTEMBER
Anha nimekuelewa mkuu me till natumia app sijaona hiyo kituNimelike post yako mkuu; Mods wametuondolea like na wametuwekea "Thanks" , nilikua natoa tu dukuduku langu kua hio "thank" mie siitaki 😉
Sio wote naskia mmoja.
Sent using Jamii Forums mobile app
í ½í¸í ½í¸si mmoja yupo deceased,mzee wake hakupenda ujinga.
hamnaga jema nyie watu hiki kilichowekwa sasa kilililiwa kwa muda mrefu na members wa humu wewe ulikuwa wapi kipindi watu wanaweka maoni ?kama hutaki piga kimya huwezi kumridhisha kila mtu hapa duniani maana hiko utachokitaka wewe watatokea wengine pia kusema kuwa hawakitaki so maisha yaendeleeNimelike post yako mkuu; Mods wametuondolea like na wametuwekea "Thanks" , nilikua natoa tu dukuduku langu kua hio "thank" mie siitaki 😉
Hahahaha hatari mkuu.Nakumbuka iyo fool again tulikuwa tunaisikia na kuiimba kama "folage" hahaa
Enzi hizo nikisikiaga vibao vyao wakati vinatoka Fool Again na My Luv(Coast to Coast) mwaka 2000 Milenium vikipigwa kwenye Chombeza Time na Aboubakar Sadiq kwa fujo au Rose Chitala kichwa ilikuwa inachanganyikiwa.
Sijajua kwanini Deogratius Rweyunga kaondoa vipindi vya usiku vya chombeza,amemuweka Zomboko na zilipendwa zake za 1960sIlikua inapendeza sana chombezaaa time
Sijajua kwanini Deogratius Rweyunga kaondoa vipindi vya usiku vya chombeza,amemuweka Zomboko na zilipendwa zake za 1960s
Mkuu hata mimi nilipata kusikia kuna member mmoja ni gashoHao jamaa si huwaga ni mashoga?
Inaonekana una hisia sana wewe.Asante jamani nautafuta sasa hivi.
Hawa vijana niliwamiss sana.
Kuna kipindi Fulani wimbo wao mmoja ulinibembeleza nikajiona Mpyaa maana niliusikiliza mwezi mzima non stop.
Siku moja Niko kwenye public transport basi si wakaupiga kwenye radio dah niliuimba wote mwanzo mwisho kustuka watu wote kimyaaa ,sijui nn kilitokeampaka naumaliza nilikuwa nalia kama jinga vile.
West life watabaki kileleni.![]()