Westlife music: Special thread

Storm shadow

Senior Member
Joined
Jul 5, 2019
Messages
163
Points
250

Storm shadow

Senior Member
Joined Jul 5, 2019
163 250
Wakuu bila shaka mu wazima wa afya

Leo nataka muwajue kundi LA westlife na record kubwa waliyonayo kwenye muziki.

Westlife ni kundi LA muziki wa pop vocal kutoka Ireland liliundwa huko sligo mwaka 1998 likiwa na member wanna ambao ni Nicky bryne, Shane filan, mark feehily, kian Evan. chini ya manager Louis wash

Kundi hill lilivunjika mwaka 2012 na kujiunga tena 2018 wamefanikiwa kuachia album nyingi ikiwemo Westlife 1999,Coast to coast 2000,World of our own 2001,Unbreakable -the greatest hit 2002,tournaround 2003 na zingine nyingi pia wameachia cover albums Kama vile Alow as to be frank 2004,The love album 2006.studio albums kama vile Face to face 2005, Back home 2007 na nyingine nyingi.

Wana single hit nyingi kama vile : Swear it again, If I let you go,Flying without wing, I have a dream ,Season in sun,Fool again , My love , What make a man, uptown girl, Unbreakable, My heart tonight, Hey wherever, The rose you, You raise me up, world of our own , soledad na nyingine nyingi.

Wana record ya Guinness world record ya kuwa na single saba zilizoingia namba moja katika chati za muziki ndani ya united kingdom ,nyimbo bora nfani ya united kingdom, albums zilizouza zaidi karne ya 21(21st C),wameuza zaidi ya copies milioni 45 ya studio albums mpaka kufikia million I 55 dunia nzima .pia in group lenye mauzo makubwa zaidi ya album muongo wa 2000s huko united kingdom .wana views zaidi ya billioni moja YouTube subscribers 2.2 million wamekuwa streamed Mara millioni 550 katika mtandao was Spotify

Wana tuzo moja ya world music award, mbili za Brit award, nne za MTV awards,nne za Record of the year award.

Wameuza zaidi ya ticket milioni 5.5 katika tour 13 mpaka sasa .wanashikilia record ya kujaza idadi kubwa ya watu katika viwanja vya The SSA Belfast na The SSA Wembley

Wana recodi ya kuuza ticket zote (sold out) ndani ya dakika 5 katika viwanja vya croke park.kwa sasa wana endelea na tour yao ya The twenty four hours.
 

Depal

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2018
Messages
4,663
Points
2,000

Depal

JF-Expert Member
Joined Nov 26, 2018
4,663 2,000
rudia kusoma thread mama tatizo mvivu kusoma
Nachomaanisha ni upandishe nyimbo hapa tusikilize.
My love, soledad, fool again, evergreen, nothing gonna change my love for you, Queen of my heart, you rise me up, uptown girl, tonight,somebody needs you, I have a dream.
Hizo 👆 ndio nazijua, najua zitakuwepo nyingine nyingi sizijui ndio maana nikamwambia pandisha na nyimbo ikibidi na pics wasiojua wafaidike ' ndio maana ya special thread kila kitu utuwekee 😛
 

The Icebreaker

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2018
Messages
4,139
Points
2,000

The Icebreaker

JF-Expert Member
Joined Feb 11, 2018
4,139 2,000
Nachomaanisha ni upandishe nyimbo hapa tusikilize.
My love, soledad, fool again, evergreen, nothing gonna change my love for you, Queen of my heart, you rise me up, uptown girl, tonight,somebody needs you, I have a dream.
Hizo 👆 ndio nazijua, najua zitakuwepo nyingine nyingi sizijui ndio maana nikamwambia pandisha na nyimbo ikibidi na pics wasiojua wafaidike ' ndio maana ya special thread kila kitu utuwekee 😛
Asante sana kwa kunikumbusha huo wimbo wa Soledad,nilikua nimesha usahau,ngoja nikaupakue.
 

Forum statistics

Threads 1,343,321
Members 515,007
Posts 32,780,485
Top