Westlife Is Back - Better man

Westlife Is Back - Better man

Asante kwa tag mrembo wa nguvu. Unakumbuka nilikwambia mwaka jana kuwa wamerudi ee?

Nawafatilia youtube, wanaachia nyimbo kali daily. Kwa fujo. Walianza kurudia baadhi ya nyimbo zao. Sasa hivi wanatoa mpya.


Yaan mm sijui wapi miaka hii nafeli...dah ht kunishtua best..nimemezwa sana na nigeria songs aisee..ngoja nizikache....!😍
 
Enzi hizo nikisikiaga vibao vyao wakati vinatoka Fool Again na My Luv(Coast to Coast) mwaka 2000 Milenium vikipigwa kwenye Chombeza Time na Aboubakar Sadiq kwa fujo au Rose Chitala kichwa ilikuwa inachanganyikiwa.
Nakumbuka iyo fool again tulikuwa tunaisikia na kuiimba kama "folage" hahaa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom