Kati ya Fally Ipupa na Ferre gola nani zaidi?

A43

JF-Expert Member
Nov 18, 2023
385
757
Ferre gola - 100 kilos OG
Ferre gola - 100 kilos Remix

------------------Vita Imana OG
------------------Vita Imana Remix

------------------Kipelekese OG
------------------Kipelekese Remix

------------------Court Circuit
------------------Qui Vivra Verra
-------------------Vie a zero

Alafu huyu mtu anaimba na Team yake hanaga ubinafsi kama Fally Ipupa aliourithi kutoka kwa Koffie Olomide


Aiseee hizo nyimbo 3 Og na Remix zake ni Fire hakuna nyimbo kali ya Fally Ipupa kuzidi hizo nyimbo tafuta sikiliza hizo nyimbo utakuja na majibu alafu kuna hiyo COURT CIRCUIT ebana hizo ni baadhi tu nikisema nishushe historia yake kimziki na ngoma zote alizoimba huyu mtu hatari sio wakufananisha na Fally Ipupa kabisaaa.


Cha ajabu kila anayemjua Fally Ipupa ukimsikilizisha ngoma za Ferre gola anakiri ebana huyu Ferre gola sio poa ni hatari. Unajua nini Fally Ipupa ana Fan base kubwa sana, kuna kipindi Ferre gola alipoteza mwelekeo kimziki kukosa management nzuri, matatizo ya kifedha nakukosa utulivu kimziki ilipelekea hata kazi zake kuibiwa hazikumlipa vyema, lakini uwezo wake ulithaminika kila kona, kuwa wewe ni zaidi yao sema sijui unakwama wapi.... Kila mtu alitambua uwezo wake kimziki alivyorudi kwenye game kwa utulivu alikuta mwenzake ameshatengeneza fan base kubwa sana...

Sikiliza na hii
----------------------Mere chef
----------------------Chichiwash
--------------------Ifuniania ( hii ngoma weka mbali na shel alafu ita zima Moto wakae mkao wa kulA Moto unaweza kuwaka tukachoma shel

Video kali unyamwezi mwingi ushua sana. Ngoma za kiutu uzima sanaaaaa
 
Back
Top Bottom