Elections 2010 Werema amkubali Dr. Slaa - Gharama za uchaguzi

kumbe sisi wanajamii ndio tunasababisha serikali yetu kuwa ovyo ovyo kivip Lebabu11 bado sijaipata point yako vizuri
Jamii ndiyo inachagua rais na wabunge na miongoni mwa wabunge rais anamchagua waziri mkuu na mawaziri wengine ambao ndiyo serikali. Hivyo jamii ikichagua ovyoovyo serikali itakayochaguliwa kutokana na watu ovyoovyo nayo itakuwa ovyoovyo - logical!
 
Jaji Werema akiomba msamaha kulingana na ahadi yake atafanya la maana sana! Ataeleweka zaidi kuliko kutufanya watz mbumbumbu!
 
Back
Top Bottom