We’re threatened, says Zitto

We’re threatened, says Zitto

Hivi kwa mini Tanzania watu hawampi support rais huyu peculiar kabisa ila tunambeza kiasi hiki mi nashangaa. Kila mtu anajua kupiga domo. Kwani watanzania mnataka nini? Mbona hamueleweki. Fanyeni kazi jamani acheni kupiga domo kila wakati. Sisi tumenyamaza tungeqeza kuishambulia chadema mana haina mwelekeo tena has a baada ya kuingiliwa na mafisadi. Ila tumemezea jamani acheni magufuli ana nia nzuri na nchi yetu ila mumsaidie tu akikosealakini siyo kumbeza. Pumbafu zenu!!!
Sasa wewe unawakataza wengine kupiga domo halafu wewe mwenyewe ndio kwanza unalipiga kwa sauti ya juu tena na vijembe juu
 
Usihukumu wenzako kuwa mafisadi, tutaaminije kama wewe si fisadi au unanufaika na ufisafi? Yawezekana unapost pumba au matusi ndio maana wanaondoa
Mwambie aweke japo mfano mmoja wa fisadi aliyeinunua forum uone hayo mafyongo yake
 
Sawa sukari imepanda bei lakini tuangalie lengo LA rais lilikuwa ni nini?. Ni wazi aliona mbali sana na kuwa mzalendo viwanda vyetu vistawi kwa Ku avoid competition. Sasa changamoto zimetokea so ilitakiwa wapinzani wabooreshe wazo zuri LA raise siyo kumshambulia
 
Maguli is showing in reality that we have to exodus where we are but some people are struggling to make things not successful like the opposition parties. We must understand our president is so enthusiastic to make Tanzania shine anlmongst nations

Sawa sukari imepanda bei lakini tuangalie lengo LA rais lilikuwa ni nini?. Ni wazi aliona mbali sana na kuwa mzalendo viwanda vyetu vistawi kwa Ku avoid competition. Sasa changamoto zimetokea so ilitakiwa wapinzani wabooreshe wazo zuri LA raise siyo kumshambulia
Mbio ni nzuri sana hasa unapotaka kuwa no 1 lakini pia hekima ni muhimu kwakuwa kama usipokuwa makini na una usongo wa ku win utajikuta unavamia hata gari inayokatiza barabara kwa ghafla
Kimbia mbio zako lakini macho yako jitahidi yaone SEKUNDE 15 MBELE ni muhimu sana
Halafu masikio yako yawasikilize walio jipanga pembeni mwa barabara, wanaokusifu na kukushangilia wafurahie ILA wasikilize wanaokuchagiza ili hizi zisije zikawa mbio zako za mwisho...katika maisha msikilize mpinzani wako kuliko shabiki wako
 
Hongera kwa kujitambua Mkuu.

Nilidhani ni TBC peke yake ndio iliamua kukataa kurusha bunge live sikujua serikali ilipiga marufuku media zote. Mimi ni shabiki wa serikali ya JPM lakini udiktator kamwe siwezi kusapoti.
 
Hii Tanzania inaelekea wapi jamani? I support Peter who said " where will we be this time tomorrow?" The country that has reached a stage of denying his people freedom of speech, freedom of getting information! This is so serious in a free and democratic state!

If members of Parliament are being threatened, who will speak for us? That being the case, no need of having the so called Parliament...

I cry for my beautiful country... Let us keep praying that God grant our leaders the winsdom so that they act wisely instead of making decision that might end up hurting people
 
threatened? sijaona ni kwa namna gani hao watetezi wa mafisadi wametishiwa?
Zito mtetezi wa mafisadi???????????Au ndo kindakindaki.....!Ila mi sijaicriticise serikali hapa! Manake kama zito katishwa je mie!Si ndio kwenye tv makosa ya mtandao narumandenishwa.
 
kwa mtindo huu hakuna haja ya kuwa na bunge kamwe....
Usitegemee mdebwedo , ubunge wa Tanzania ni kupambana , hata kwa ngumi ikibidi , hebu fuatilia namna Lijuakali alivyopata ubunge kilombero , alipambana na viongozi wote wa kila idara ya serikali morogoro na aliwashinda , ni lazima kupambana.
 
Mungu wangu sijawahi fikiri kama bunge letu lingezikwa kiasi hiki, Brazil kule, South Kule dah tunarudi nyuma badala ya kwenda mbele, Magu ameahidi ataendelea na REFERENDUM, JPM kwa dalili zote hizi ni RAIS wa CCM so was TZ. very painful.
 
Mkiruhusiwa kuihoji serikali mnajiita Majasiri na na Kiongozi wa serikali iliyowaruhusu mnamwita Dhaifu!
 
My dictionary is no where to be seen so am not contributing any thing. Am sorry.
 
Zito is among those losers, he is full of rubbish. Who was punished or called to ethics committee without a reason. He is a cry baby, is on the verge of loosing his credibility.
 
anatafuta kick si alisema atatuambia walioficha pesa uswisi ile hadithi imeishia wapi au alitishwa ukishaingia kwenye siasa unakuwa kama mpigania uhuru kwani tayari umekuwa umeyaweka rehani maisha yako na sio kukimbilia kuonewa huruma
Unachokiongea ni tofauti na uhalisia wa mada tajwa.
 
Hivi kwa mini Tanzania watu hawampi support rais huyu peculiar kabisa ila tunambeza kiasi hiki mi nashangaa. Kila mtu anajua kupiga domo. Kwani watanzania mnataka nini? Mbona hamueleweki. Fanyeni kazi jamani acheni kupiga domo kila wakati. Sisi tumenyamaza tungeqeza kuishambulia chadema mana haina mwelekeo tena has a baada ya kuingiliwa na mafisadi. Ila tumemezea jamani acheni magufuli ana nia nzuri na nchi yetu ila mumsaidie tu akikosealakini siyo kumbeza. Pumbafu zenu!!!
umetoa mawazo mazuli lakini sentensi ya mwisho imekuharibia,
kulikuwa na haja gani ya kutukana?
 
Back
Top Bottom