We’re threatened, says Zitto

We’re threatened, says Zitto

I will be the last one to trust this toothless parliament.Parliament that lost a logic of its existence.
Likewise, most members of parliament are there just to fill empty seats as they have no contribution or whatsoever to the parliament and the gov't of URT.
 
This situation has become fantastically intolerable to reasonable men in the street,why are they doing all this to us while yesterday they were everywhere asking for votes? was it for this false imprisonment? I think not but why this?. where shall we be this time tommorrow?
Umekikunyuga..... barabara hiki kimombo
 
Ungetumia kiswahili ungeweza kueleweka vizuri tena na watu wengi tu, sasa sijui kwa nini umeamua kutumia kiingereza, nahisi utapata wachangiaji wachache
Ame-copy na ku-paste!
 
lengo la chama na serikali ni kuhakikisha Bunge halikosoi chochote hata kama kuna mapungufu ni lazima wayapongeze tu, sasa nimeshaanza kupata logic aina ya spika wa bunge tuliyenae.
Na hasa naibu wake.
 
Agnes marwa bonge la beauty. I don't care her stupid speech. When I was watching this video was just gazing at her undisputed majestic figure. She's simply eligible for massive fu*kn
We are all the same but different ,a dumb woman is pretty much of turn off to me regardless of what she has
 
Tanzania haiwezi kuangaimia inayo angamizwa hapo ni Demokrasi.
Ili nchi iendelee inahitaji siasa safi,sasa kama ukiikosoa serikali unaenda kuhojiwa kuna umuhimu gani wakuwa na bunge,na je lazima wabunge wote wakubaliane na serikali.Huoni kama nchi inaangamia kwa kukataa demokrasia hio unayoizungumza kwa mini kisibaki chama kimoja tu wasifiane wao kwa wao.
 
Swali hivyo vitisho ni kwa opposition tu au hadi wa chama tawala?.kipindi esther yuko na ubunge wa ccm alikuwa anaenda sana kinyume na wenzake but sikuwahi kusikia haya,Mkuu anahusika?
 
Huyu Magufuli akiitwa dikteta anang'aka lakini kuna ushahidi wa kutosha kwamba anataka kuingilia uhuru wa bunge na hivyo kuwatisha wabunge waogope kuikosoa Serikali pale inapokosea.
Tuwe wa wazi, wewe ndani ya roho yako unaamini Bunge limeshawahi kuwa sawa na serikali?
 
Ili nchi iendelee inahitaji siasa safi,sasa kama ukiikosoa serikali unaenda kuhojiwa kuna umuhimu gani wakuwa na bunge,na je lazima wabunge wote wakubaliane na serikali.Huoni kama nchi inaangamia kwa kukataa demokrasia hio unayoizungumza kwa mini kisibaki chama kimoja tu wasifiane wao kwa wao.
In short suala la vyama vingi ilikuwa ni sawa na kunywa shubiri kwa ccm ila hawa kuwa na choice ilikuwa ni lazima, na hata Mwalimu Nyerere aliwaambia ukweli huo kinacho endelea sasa ni woga na kutojiamini tu.
 
The way our members in the house of commons argue it is better we don't see it publicly since almost all members are shallow in arguing some issues i better go myself in the house to show my pomposity
 
Back
Top Bottom