zubedayo_mchuzi
JF-Expert Member
- Sep 2, 2011
- 4,873
- 1,221
mmh ongea taratibu wengine wasinisikie...huu ujio ulikua sio rasmi, nikija tar 28 tutakutana tu Bela
mmh ongea taratibu wengine wasinisikie...huu ujio ulikua sio rasmi, nikija tar 28 tutakutana tu Bela
Taratibu..unaikana ndoa
Yap yap dady, mwambie asitie shaka kabisa.
Hehehe! Ndoa yenyewe ipo chali.Ikibidi tutakwenda zetu kujikumbushia honeymoon!!Isiwe tabu!!!
Vipi kwa sisi tunaotokea Mwanza ?Ni laki moja kwa wanaotokea Arusha!
Uko pande zipi? Kwa wanaotokea Arusha mchango ni laki moja , Tsh.Mchango ni kiasi gani
Mabatini Mwanza.Arusha Sakina......na wewe?
Mabatini Mwanza.
We unataka kukutana my wife witout my pamisheni..... ngumi zitatawala kwa 5dk...ili hesh4ma irudi.
my hubby watu8 is my brother from another mother
thawa ngoja tuongee taratibu. Bathi ukija uthiache niambia