Wenzetu wana marais sisi tuna Kikwete

Nishawahi kusema kuliko jimbo litawaliwe na CCM ni bora mkaweka JIWE... baadae nikaona haijatosha nikasema kuliko njemba iliyoko kama unaelekea kingamboni ferry ni bora tungeweka JIWE...kuna m2 mmoja akanisahihisha kwa kusema hivi...KULIKO KUWEKA JIWE NI BORA TUNGEWEKA SOKWE MTU MAANA WANASEMEKANA WAO WANAKAUTASHI KIDOGO

Nimehamia Makaburini bar nakunya safari lager yangu na Wafu leo....Karibuni sana... NB:Chezea mshahara usichezee kazi men!
 
Huyo ndiye ambaye wanaanchi walimpa kura kwa kishindo sana.....pamoja na kujua upuuzi huu wote.
 
Natamani hata tungekuwa na jina jingine linalomwelezea kali zaidi kuliko hili. His government is the most hopeless ever na yeye anaonekana hata hajali. Imefika mahali binafsi sielewi kazi ya serikali ni nini na kwanini tuendelee kulipa kodi kwani barabara zimejaa potholes (hapa Dar), hospitalini hakuna dawa na mama wajawazito wanajifungulia sakafuni, shule hazina waalimu wala madawati (nina uncle anasoma std 4 hapa dar, juzi nimegombana naye how come bag limechoka ndani ya mwezi mmoja akanieleza kumbe hilo ndio dawati lake, anakaa chini na kuandika juu ya bag kama dawati). Shule nyingi za Dar ni std 6 na 7 tu ndio wenye madawati. Nikiorodhesha matatizo hapa sitayamaliza lakini tuliowapa dhamana ya kutuongoza wako poa wanaona hamna shida. Natamani tupate solution ya kudumu ili tusijeruhusu tena mtu asiye na uwezo kuwa rais bila kujali anatoka chama gani.

Bobby yani hayo ndo mawazo na wishes zangu kwa sana. tusipotengeneza mfumo ambao utazuia watu wasio na uwezo kupata urais kwa namna yoyote ile, basi tusitegemee kuachana na umasikini na fedheha zote tulizonazo.

This has been a big failure ktk historia ya uongozi wa nchi hii, the good thing ni kuwa (ktk failures zake zooote) amekubali na kutoa mwanya wa kuandikwa kwa katiba mpya.

Kama nchi hii ni nafasi yetu adimu na adhimu ambayo tuitumie kwa nguvu na uwezo wetu wote tutengeneze mfumo amnbao utatusaidia sana kupata viongozi bora na uwezo wa kuwaadabisha kama watashindwa kukidhi tuwatumayo.

Vinginevyo tutarajie kubadili majina ya marais watakaokuwa funnier (and failures) than even jk.
 
Back
Top Bottom