Wenzetu Marekani huwa wanatoa risiti feki.?

Wenzetu Marekani huwa wanatoa risiti feki.?

BABA TUPAC

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2015
Posts
1,533
Reaction score
3,840
Wanabodi,

Nimeamua kuwa mdadisi wa maisha ya "ujanja ujanja" kwa wenzetu huko US.

Kwa mfano sijakaa hotel X then nikaenda kuongea na mtu wa hotel hiyo anipe risiti ya hotel yao, je inawezekana?
 
USICHEZE KABISA NA SUALA LA KODI KWENYE NCHI KAMA MAREKANI.NAKUOMBA USIJARIBU UTAISHIA JELA.
 
USICHEZE KABISA NA SUALA LA KODI KWENYE NCHI KAMA MAREKANI.NAKUOMBA USIJARIBU UTAISHIA JELA.
kwa story za kusimuliwa namimi nina majibu kama yako lakini hapa nahitaji watu wenye uzoefu kabisa watupe uhalisia wa huko

cc: Nyani Ngabu
 
Dunia ya kwanza hakunaga ujinga ujinga kama huo wa dunia ya tatu.. endelea tu kuota ndoto za mchana.
 
unakuta hata kenya hupajui
Sijawahi kutoka nje ya Tz ila cheki hapa.

IMG_20180226_193837.png

Pia nimekuta kesi nyingine zinazohusu risiti feki, hii inamaanisha hata huko hiyo michezo itakua inafanyika.
 
Sijawahi kutoka nje ya Tz ila cheki hapa.

View attachment 701792

Pia nimekuta kesi nyingine zinazohusu risiti feki, hii inamaanisha hata huko hiyo michezo itakua inafanyika.
Kama umefeki kwa lengo la kukwepa kodi nakubaliana nawewe kwamba ni kweli wamarekani hawatakuacha. Mi nazungumzia ile mtu anaenda kuomba risiti ilimradi akafanye retirement ofisini, je zinawezekana?
 
Back
Top Bottom