Circle mbaya sana hiii...mnakuta mnakimbizana uliyempenda hakupendi,na anayekupenda humpendi...that's truestDu na huyu mke mtarajiwa si ajabu hajakupenda wewe kivile. Kuna mtu anaempenda zaidi lakini hajawahi kumtamkia ndoa.
Na hili eti anataka afundishwe darasani.Ulikosea kumwambia ,ungemuonyesha vitendo kwa kupunguza mawasiliano kidogokidogo
We jinga kweli , unaachaje mwanamke namna hiyo , Yani hata Mbinu za kujiongeza huna,
Joanah ni bora unisaidie maneno yako na wewe yanazidi kuniumiza na kujiona mkosaji ukweli ni kwamba huyu dada sikuwa na mipango ya kumuoa toka tunaanza mahusiano ila huwezi mueleza mtu jambo kama hiloKimsingi umeamua kuumiza moyo wa mtu kwa makusudi
Nawish binadamu tuwe tunapendana milele,yaani mfano nikianzisha mahusiano na mtu basi ndio awe huyo huyo hadi mpaka kifo
Asa wewe umemkoleza dada wa watu kakupenda kweli halafu unataka kumuacha tena....sio vizuri