- Thread starter
- #121
🙂santeeChochote unachofikiria kichwani, jambo lolote ulilowahi kuhadithiwa na mtu, au jambo lolote unaloliona mtaani, ofisini, n.k
Hivyo yaani... Kama kuandika script, au kutunga nyimbo...

haya Neema ni check basi pm niwe nakupa nyuzi tamuhahahaha khaa sasa wazee wamekujaje hape.