Detective J
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 19,370
- 30,604
Siku zote ex anaye kutext au kukupigia muda mfupi baada ya kukuumiza si mtu mzuri kwako. Huwa wanafanya hivyo ili wajisikie kuwa hawajafanya jambo baya kwa kukuacha.
Angekuwa na nia njema angekupa muda wa kupona. Otherwise hiyo ni dharau.
Block her kabisa.
Angekuwa na nia njema angekupa muda wa kupona. Otherwise hiyo ni dharau.
Block her kabisa.
Anakutext kujua vipi umemsahau au bado bwege lake wanadamu ni washenzi sana sasa hapo ni blue tick au mjibu kunya ili imuume