Habari zenu wana jamvi? naomba kukaribia nipate pumziko la kifikra maaana huko nilipo toka ni majungu, fitna, unafki, uzandiki...... du na kila kitu! Naamini hapa nitabwaga moyo, au nimekosea wapendwa?? Twende pamoja!!!!!
Jamani karibu MMU KAMA wataka
kusafishwa na kupumzishwa ukitoka hapo
Ingia kwenye jokes ujiongezee maisha..
Mmmmhhhh siasa siasa siasa mmmhh..
Badaye.. karibu sana mgeni..