Nipoooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooopo.
Ndoungie ndani koz hod yako imenitishia halafu punguza bezi ya sauti yako coz nimejaribu kuitika kwa nguvu mno ili kukukaribisha hivyo basi karibu sana MERESI, lete mizigo nikupokee, erickb52 atakupa chakula cha usiku kwa upande wa maji ya kuoga na kitanda naomba wengine wajitolee.