Umeonaeeeeeee?Nimepitia thread nyingi leo hapa jamvini naona vijizi vya Uvccm vimejaa humu vinatoa mapovu balaa!
Kamwambie Gambo,Arusha sio Uvinza kwa wachimba chumvi...Huu ni mji wa kitalii.Alianza fitna za ukabila pale kwenye kijiwe cha wazee wa kirangi wakamkwepa,sasa analeta chokochoko.Hali katika jiji la Arusha ususani katika siasa yachafuka,ni ukweli usio pingika Halmashauri ya jiji inayoongozwa na CHADEMA chini ya Mbunge God bless Lema wameapa Kwa udi na uvumba kuhakikisha wanamchonganisha mkuu wa wilaya mhe gambo na mhe Rais Magufuli.
Tangu mh Gambo ameteuliwa kuwa mkuu wa wilaya ya Arusha,amegeuka kuwa mwiba wenye maumivu makali Kwa madiwani na Mbunge wa Arusha bwana God bless lema,hii ni kutokana na weledi wake katika kusimamia sheria na kuibua ufisadi mzito unaofanywa na Halmashauri inayoongozwa na meya CALISTI LAZARO.
Madiwani wa chadema wamekuwa wakijilipa posho maratatu zaidi ya wanayostaili,mh mkuu wa wilaya amesimama kidete kupinga ufisadi huu,halii hii imepelekea madiwani wa chadema kukutana kwa siri nyumbani Kwa Mheshima Mbunge Kupanga na kuibua Kashfa zitakazomshawishi Mh Rais KUMTUMBUA mkuu huyu wa wilaya.
Mpaka sasa Mikakati yakumuondoa mkuuu wa wilaya inasukwa chini ya mkandarasi GODBLESS LEMA,tutegemee kuanzia sasa kuona na kusikia mashambulizi makali sana kuelekea Kwa mkuu wa wilaya.
Agenda za awali zilizopitishwa ni kuibua tuuma za kupokea Rushwa,hii itakuja ikiwa na ustadii mkubwa kuweza kuaminisha umma, mkuu wa wilaya sio kiongozi anayestahili kuongoza wilaya yenye utajiri mkubwa wa vivutio vya utalii na wilaya yenye vyanzo vingi vya Mapato vinavyotokana na utalii,hili wameapa kulipigia kelele sana Kwani wanaamini hoja hiii ni raisi kueleweka na Mh RaisKwakuwa anachukia RUSHWA..nadhani niwakati sasa mh mkuu wa mkoa wa Arusha kuwa makini na tuhuma zinazomlenga mtendaji wako (mkuu wa wilaya)
Lema amekuwa akisikika mara kadhaa akisema"mh mkuu wa wilaya anamcopy MAKONDA hii ni ARUSHA lazima aondoke"
Kwa ushauri ndugu yangu Lema najua unajua ni jinsi gani uipata wakati mgumu kurudi bungeni mwaka janaa. Wako waliopa hata kutoa uhai wao ili tu usirudi bungeni lakini Kwa rehma za MJA umerudi,sasa ni bora mkapanga Mikakati yakimaendeleo.
Update 17/08/2016
Bado nachelea kusema vuguvugu hili siasa za majitaka linaloendelea Arusha kuwa na tija Kwa jiji letu,na wananchi kiujumla!
Takribani siku chache zilizopita nilikuja na uzi uliopambanua vema siasa zinavyoendelea katika jiji la Arusha haswa bifu zito linaloendelea kutoka Kwa Mbunge wa Arusha mjini dhidi ya mkuu wa mkoa.
Katika uzi ule niliweka wazi tusubiri kusikia milolongo mingi ya tuhuma zitakazo mlenga mh.mkuu wa wilaya bwana Gambo na bado naendelea kusema tuendelee kusubiri tutasikia mengi sana,mh.Mbunge amejipambanua ni lazima Gambo aondoke Arusha.
Kutoka Kwa mtoboa siri,agenda iliyoaminika ingeweza kumtikisa bwana Gambo ni ile yakumuhusisha na RUSHWA ya milioni 20 hii ilijikuta inafail vibayaa kwasababu mazingira hayakuwa rafiki kwa wananchii kuamini kama inawezekana kiasi cha milioni 20 zinaweza kuenea kwenye baasha ndogo,ndipo itolewe kama Rushwa.
Baada ya hoja hii,bado kunahoja kadhaaa zimepangwa kuelekezwa Kwa mkuu wa wilaya lengo ni lile lile kuhakikisha bwana gambo ANATUMBULIWA.
Mh mbunge amekuwa mtu wa vikao kila mara kupanga mbinu chafuu za kumuhujumu mkuu wa wilaya,juzi jumatatu mh Mbunge alikutana na baadhi ya wenyeviti wa mitaa na kuwashinikiza waandike barua yakutokushirikiana na mkuu huyu wa wilaya.hoja hii imependekezwa kuwa hoja ya pili kutupiwa mkuuu wa wilaya kwamadai ya kwamba ni raisi mheshimiwa Rais kielewa kwani wenyeviti wa mitaa ni watendaji muhimu na wengi kuliko hata Idadi yamadiwani.
Nakukumbusha mh Mbunge bado unamambo mengi yakufanya kuweza kutimiza ahadi zako nivema ukaelekeza nguvu hizo haswa kwenye kutatua matatizo ya Wananchi.
Swali lako lina maana gani? Soma post yangu uelewe uozo wa viongozi wako wa hapo Arusha. Hakika Gambo atawanyoosha.
Unapoteza muda na huyo mkuu! Analipwa na Lumumba so pumba zozote yeye anaandika tuLeo umetambua kuwa kuna uvunjaji wa sheria, mnapoonyeshwa uvunjaji wa katiba unaotokana na kuzuiwa mikutano na maandamano mnajifanya kupotezea....kama leo unahitimisha kuwa wenyeviti wa serikali si chochote wakati mamlaka ya serikali yanatoka kwa wananchi, basi sitoshangaa tena ninaposoma post zako zinazowashambulia wanaotetea kuheshimiwa kwa katiba ya jamhuri ya muungano wa Tanzania! Aidha, ni vizuri ukatambua kuwa umoja huanza kabla ya kusajiliwa kisheria, na nia au lengo ni muhimu zaidi kuliko karatasi ya usajili. Unaweza kuwa na taasisi iliyosajiliwa lakini ikafanya mambo ya hovyo kabisa kama tunavyoshuhudia taasisi nyingi zenye usajili wa kisheria zikifanya!
Gambo hatafanya lolote la maana hapo Arusha. Chama chake kimebakiwa na diwani mmoja tu kwenye Halmashauri ya jiji. Ni kama CCM haipo kwenye hilo jiji. Kama alishindwa Magesa Mulongo (RC) ataweza huyo Mrisho Gambo (DC)? Kwa hakika Gambo anapoteza muda tu.
Kwakweli hata Mimi nimeshamchoka,naona Kama katawala miaka 100 hivi.Nakukumbuka kweli rais wangu mpendwa JK.magufuli atamaliza miaka mitano kwa siasa uchwara, hajui kazi ya upinzani ninini??
Nashangaa hoja za wapinzani analazimika kujibu yeye,
Rais ambaye atachokwa kwa muda mfupi sanaaaa
Gambo tulimshauri humu siku zake Arusha zinahesabika shauri yake
Tucheke mara ngapi au zaidi ya hapa?magufuli atamaliza miaka mitano kwa siasa uchwara, hajui kazi ya upinzani ninini??
Nashangaa hoja za wapinzani analazimika kujibu yeye,
Rais ambaye atachokwa kwa muda mfupi sanaaaa
Haina shida, we endelelea kuzungusha mikono, hususahau kulipa kodi ili mwanangu asome bureEndelea tu na huo wimbo wako na sasa bandarini watu wanachezea soka
Gambo huyu anaeongelewa hapa ni yule aliyemtusi mwanasheria wa wilaya ya Korogwe?Gambo hatafanya lolote la maana hapo Arusha. Chama chake kimebakiwa na diwani mmoja tu kwenye Halmashauri ya jiji. Ni kama CCM haipo kwenye hilo jiji. Kama alishindwa Magesa Mulongo (RC) ataweza huyo Mrisho Gambo (DC)? Kwa hakika Gambo anapoteza muda tu.
Atajua mwenyewe bana ,mtoto akililia wembe mpe tu atajifunza ukishamkataHakika tulimshauri sana tu,ila sikio la kufa halisikii dawa siku zote!!!
Ndio huyo huyo aliyemwambia Mwanasheria ana degree ya chupiGambo huyu anaeongelewa hapa ni yule aliyemtusi mwanasheria wa wilaya ya Korogwe?
Arusha hawajawahi kushindwa kwenye vita kupambana na watu aina Gambo mfano mzuri mnakumbuka Magesa Mulongo leo yuko wapi huyu Gambo ni mwepesi sana kama karatasiSwali lako lina maana gani? Soma post yangu uelewe uozo wa viongozi wako wa hapo Arusha. Hakika Gambo atawanyoosha.