baz kaiza JF-Expert Member Joined Jan 27, 2015 Posts 11,479 Reaction score 12,091 Sep 25, 2025 #1 Ni kweli CCM ina wenyewe ila sio hao wenyeviti wa Mtaa ambao maisha yao nao ni duni na Balozi wa Mtaa.
Ni kweli CCM ina wenyewe ila sio hao wenyeviti wa Mtaa ambao maisha yao nao ni duni na Balozi wa Mtaa.
nakwede97 JF-Expert Member Joined Aug 9, 2021 Posts 2,560 Reaction score 8,069 Sep 25, 2025 #2 Kuna watu wanapita mitaan wanasema wanatengeneza vitambulisho vya kupiga kura Bure kabisa nilitaman niwaulize maswali ila nikawaza mbal
Kuna watu wanapita mitaan wanasema wanatengeneza vitambulisho vya kupiga kura Bure kabisa nilitaman niwaulize maswali ila nikawaza mbal
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 165,710 Reaction score 184,574 Sep 25, 2025 #3 Hatari sana... Cc: Mahondaw