Wenyeji wa Tanga hapa ni wapi?

eleza sababu za swali lako, umepotea njia au kuna shindano "RWANDA"
 
Hapo ni kwenye barabara ya lami kuelekea Lushoto toka Mombo
 
lushoto hiyo
hizo kona acha tu watu wanatapikaga sana
 
Hapo ni maeneo ya Ikulu ndogo karibu na costi maeneo ya Magamba
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…