Wenyeji wa Mwanza naombeni msaada wenu

Wenyeji wa Mwanza naombeni msaada wenu

Dola Iddy Wa Chelsea

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2014
Posts
2,125
Reaction score
1,533
Kwanza kabisa poleni na mihangaiko ya kutwa nzima ndugu zangu

Dhumuni la kuwaita hapa katika uzi huu ni kuomba msaada wenu juu ya hili hitaji langu

Nahitaji kifaa kinachotumika kuseti madishi maarufu kama SATTELITE FINDER

Kifaa hiki kinauzwa katika maduka yanayouza ving'amuzi na madishi na vifaa vingine vya ki ectronic

Sina wenyeji na mji wa mwanza isipokuwa kuna jamaa wanajiita LAKE SATTELITE wapo mwanza nimekuwa nikiwafuatilia sana katika ukurasa wao wa facebook ila jamaa naona kama hawataki mimi nikifuate instead wanataka wanitumie tu na kuniia mpaka mimi niwatumiie kwanza pesa,

Mimi sipo tayari kufanya hvyo ninachohtaji kwenda kununua na kurudi zangu kwetu

Hivyo kama kuna mtu yeyote anafahamu maduka yanayouza hiki kifaa naomba anielekeze

NITASHUKURU MKINISAIDIA.
 
walitola mimi kwa sasa nipo geita ila kama anayo aniambie bei tuelewane ila iwe mpya kisha alhamisi nitafikia mtaa wa rufiji katika guest ya calfonia .
 
Ningekusaidia. Tatizo ni jf tunatakiwa kubaki anonymous kama tulivyoingia ingia. endelea kuulizia kwa ndugu na jamaa ambao wanaweza fika iyo sehemu wakapatiwa
 
Unaposisitizwa Utume Cash Halafu Ofisi Ipo Hewani Ahirisha Kwanza
Vumbi La Kupigwa Litatimka

Hawa jamaa niliwauliza kuwa wapo wazi ? Wakanijibu hapana mpaka mwezi wa 8 , mara punde ikaingia sms kuwa ila bado tunatuma mizigo mpaka sasa hv , nikajiuliza kama wanaweza kutuma kwanini tusiweze kuonana nikawapa cash wakanipa mzigo lakini jama hawataki.
 
Back
Top Bottom