Nenda La Kairo Hotel,ni pazuri sana tena sana,bei sh 65 elfu per day.
okky mkuu ipo umbali gan kutoka Airport
okky mkuu ipo umbali gan kutoka Airport
okky mkuu ipo umbali gan kutoka Airport
Habarn wandugu mimi ni mkazi wa Arusha natazamia kuwa mwanza mwez wa nane kwa mapumziko ya wiki moja,
hii itakuwa mara yangu ya kwanza kufika mwanza, ningependa mnijuze hotel au lodge nzur za bei nafuu avg-50 to 80 Tsh per night, pia na sehem nzur za kutembelea.
Asanteni.

Shinyanga Guest House 7,000/= hapo Yale mambo yetu ni nusu DKK ushaopoa. Milango huwa haifungiki hivyo yakupasa muda wote uwe attention kama kundi la ISIS (muda wote unakamua).
La Kairo pametulia. Otherwise uende Isamilo lodge au Kingdom Hotel. Deluxe sikushauri, hapana utulivu kabisaa