mandella
JF-Expert Member
- Oct 29, 2011
- 3,048
- 3,227
Kuna jamaa nimekuta wanahoji mahali juu ya huyu Jamaa anaitwa Samora ambaye ni fundi viatu wa muda mrefu pale IFM na sasa amehamia Dodoma, wanasema jamaa ndie aliyekua anatoa connection za kazi kwa wanafunzi wengi sana kwa Maboss wa BoT na Watu mabalimbali.
Je, Samora ni nani?
Je, Samora ni nani?