Mto ungwasi Rombo, inanikumbusha enzi zetu 1980s kiliboys wakati wa mechi za mpira na namfua, hapo palikua hamna lami, kipindi cha mvua ndo utajua kuwa kuna madereva wa ukweli, tope la kufa mtu alafu Leyland CD inapitishwa hapo kwa ustadi sana, mpaka abiria mnashangilia kwa furaha