Habari wana JF?
Ndiyo kwanza najiunga humu ndani baada ya kuwa natembelea tuu na hatimaye kunogewa! Natumai kupata ideas mupya, challenge na mambo mengine mengine mengiii!
Hodi jamani mwenzenu ndiyo naingia rasmi and i`m happy to be here!
Thanx very much

Lakini nina mawili matatu!
Nategemea umekuja kwa mema tu!, na nia yako ni kubadilishana mawazo!
Hongera, naona umejifunza haraka kuweka picha yako!...we mtundu eeh!

Yap! Nia ni njema kabisa na si vingine mkuu! Thank you sana
Aaah! Computer ni kuijua na kufuata maelekezo yake, mie kazi zangu hutegemea zaidi computer nadhani imenisaidia kuielewa vizuri kidogo. Bado kuna mengi yamenishinda yakiwemo kuweka msg chini mfano yako inasema WhoeverKnowsEverythingIsExpert InNothing.