Afanye hii clip kama usaili, akifanikiwa tutaongea kuhusu ujira;
Tengeneza 'clip' ya animation 2D yenye maudhui yafuatayo na utume kwenye email:
businessideas2f@gmail.com
character wawe na muonekano wa majina yao.
Maudhui:
Orange : Habari za asubuhi rafiki yangu mzee 'Mango'
Mango : Salama tu,umeamkaje, habari za tangu jana?
Orange: Mbaya tu, jana nilishinda njaa na hata leo sina uhakika wa kula...
Mango: Pole sana rafiki yangu,nitakupeleka kwa rafiki yangu mzee 'Lemon',alinidokeza nimsaidie kupata watu wa kumsaidia kuvuna mazao yake shambani, kwa ujira wa shilingi elfu tano kwa siku; nadhani kazi hiyo itakufaa....
Orange: Nashukuru sana rafiki yangu, hiyo kazi itanifaa hebu tufanye haraka asije akapata mtu mwingine nami nikakosa kazi