Super Sub Steve
JF-Expert Member
- Jul 9, 2011
- 17,723
- 11,336
atakuwa anataka kupata kazi kijanjaUnachekesha kweli, Wenye ujuzi huo hawahangaiki kutafutwa eti uwape kazi π Wenye ujuzi unatoa tenda unafanya malipo unafanyiwa kazi yako, Sema hauna uwezo wa kuwalipa wala hauna ujuzi wowote, Acha janja janja!
Ipo team nzuri tu ya animation hapa Dar yenye uwezo mkubwa tu na wana show real za kutosha kuonyesha maukali yao kwenye dunia ya animation tatizo pesa mnayoofa ni ndogo sana! Kama hela ipo PM me tuyajenge- experienced with 3 D Max, Adobe na nyinginezo karibuKuna kipindi nilileta uzi wa kutafuta 'animators'/ watengenezaji wa video za katuni; Sikufanikiwa kupata wajuzi, ili niweze kuwapa ajira.
Nimegundua hii 'field' wengi hawana ujuzi, kwa hiyo nimekuja na mkakati mwingine wa kuwapata hawa wajuzi, ambao itabidi wajifunze kwa 'online' kwa gharama zao, ambao nitawapatia mwalimu wa kuwafundisha.
Kwa sasa wanatakiwa vijana watano (5) wenye mautundu katika computer, wawe na laptop yenye uwezo; baada ya kujua vizuri nitafanya nao kazi.
Wenye nia, karibuni.
Nakuelewa, hii ni kampuni ambayo iko inajitegemea na hai- subcontract kazi; bali inataka vijana wa kuwaajiri wawe chini ya kampuni na wafanye kazi kwa jina la kampuni.Ipo
Ipo team nzuri tu ya animation hapa Dar yenye uwezo mkubwa tu na wana show real za kutosha kuonyesha maukali yao kwenye dunia ya animation tatizo pesa mnayoofa ni ndogo sana! Kama hela ipo PM me tuyajenge- experienced with 3 D Max, Adobe na nyinginezo karibu
Afanye hii clip kama usaili, akifanikiwa tutaongea kuhusu ujira;
Tengeneza 'clip' ya animation 2D yenye maudhui yafuatayo na utume kwenye email: businessideas2f@gmail.com
character wawe na muonekano wa majina yao.
Maudhui:
Orange : Habari za asubuhi rafiki yangu mzee 'Mango'
Mango : Salama tu,umeamkaje, habari za tangu jana?
Orange: Mbaya tu, jana nilishinda njaa na hata leo sina uhakika wa kula...
Mango: Pole sana rafiki yangu,nitakupeleka kwa rafiki yangu mzee 'Lemon',alinidokeza nimsaidie kupata watu wa kumsaidia kuvuna mazao yake shambani, kwa ujira wa shilingi elfu tano kwa siku; nadhani kazi hiyo itakufaa....
Orange: Nashukuru sana rafiki yangu, hiyo kazi itanifaa hebu tufanye haraka asije akapata mtu mwingine nami nikakosa kazi
Ndio maana nikashauri wapate mafunzo kwanzaatakuwa anataka kupata kazi kijanja
Maneno mengi, kazi sifuriUnajua kiongozi unachekesha sana, em kwanza toa kichwani hilo wazo sijui usahili sijui ajira blah blah, Kwanza kuajiri hauna uwezo huo, Pili hakuna Professional wa animations anayehitaji sijui umuajiri! NONSENSE.Njoo fika ofisini tena kwa adabu, keti,toa requirements zako upatiwe invoice sign makubaliano,Fanya malipo, subiri kazi yako according to agreement. DONE
Ulishawahi kushiriki usaili wowote kwenye kampuni za kimataifa?Natafuta mafundi ujenzi, usahili wanijengee nyumba yangu kwanza, Kama watafaulu tutaongea niwaajiri π
WajiajiriNdugu yangu Equation x yaani nimesoma kichwa cha habari nikajua unatafuta. Kumbe unaponda. Hawa jamaa mbona wapo wengi sana saaaaana dsm tu hapa. Yaani ni wengi.
Nimeisoma nipo karibuna jamaa zangu flani mpaka wamecheka saaana.
Wewe unatafuta hao watu wapi mpaka uwape elimu. Na mwalimu.
Hao wanaoshauri ningekushauri wala usiwapinge. Wewe tangaza dau. Nenda sehemu nzuri utawapata hao watu. Hawafanyi kazi kwa mode yako.
Wapo wengi take note.
Tanzania akuna kampuni Binafsi inayoweza lipa good animator pesa inayoeleweka! Mmoja wa madogo alitolewa anakolipwa 2.5M take home na Kampuni ingine na kupewa 4 M TZs take home kwa Mwezi (4M + Usafiri na Nyumba)Take home 4 M mwajiri analipa matibabu, NSSF na makato mengine yote ndo anabaki na 4M ambako mpaka sasa yupo anafanya kazi ! Hii ni media Company with Television station hapa Tanzania. Wanamudu mlipa cause wana matangazo mengi ya Biashara.Nakuelewa, hii ni kampuni ambayo iko inajitegemea na hai- subcontract kazi; bali inataka vijana wa kuwaajiri wawe chini ya kampuni na wafanye kazi kwa jina la kampuni.
Ata mimi nashangaa eti amewatafuta awapatikani! Wapo wengi tu yeye atoe kazi tumwelekeze aende Studio aone vijana wanavyopiga kazi! Kuwaajili atoweza . Kwa sasa hapa Tanzania very few Companies ndo zinaweza ajili hawa jamaa.Ndugu yangu Equation x yaani nimesoma kichwa cha habari nikajua unatafuta. Kumbe unaponda. Hawa jamaa mbona wapo wengi sana saaaaana dsm tu hapa. Yaani ni wengi.
Nimeisoma nipo karibuna jamaa zangu flani mpaka wamecheka saaana.
Wewe unatafuta hao watu wapi mpaka uwape elimu. Na mwalimu.
Hao wanaoshauri ningekushauri wala usiwapinge. Wewe tangaza dau. Nenda sehemu nzuri utawapata hao watu. Hawafanyi kazi kwa mode yako.
Wapo wengi take note.
Ni kweli walio competent lazima walipwe vizuriTanzania akuna kampuni Binafsi inayoweza lipa good animator pesa inayoeleweka! Mmoja wa madogo alitolewa anakolipwa 2.5M take home na Kampuni ingine na kupewa 4 M TZs take home kwa Mwezi (4M + Usafiri na Nyumba)Take home 4 M mwajiri analipa matibabu, NSSF na makato mengine yote ndo anabaki na 4M ambako mpaka sasa yupo anafanya kazi ! Hii ni media Company with Television station hapa Tanzania. Wanamudu mlipa cause wana matangazo mengi ya Biashara.
Niko mbioni kuingia ubia na wachina au wahindi, ili kuweza kufanikisha project kwa sababu kule wako wengiAta mimi nashangaa eti amewatafuta awapatikani! Wapo wengi tu yeye atoe kazi tumwelekeze aende Studio aone vijana wanavyopiga kazi! Kuwaajili atoweza . Kwa sasa hapa Tanzania very few Companies ndo zinaweza ajili hawa jamaa.
Wahindi ata Tigo na wengine uwatumiaga kwenye matangazo! Kuna mwaka mmoja kuna kampuni ya kuzalisha Movies niliwaleteaga Muhindi akapiga kazi fresh akarudi kwao. Wahindi 1. Nyumba ya Kukaa 2. Work permit $2500 3. Usafiri 4. Kwa mwezi si chini ya $4000-5000 kama mshaharaNiko mbioni kuingia ubia na wachina au wahindi, ili kuweza kufanikisha project kwa sababu kule wako wengi
Ni gharama kuwaleta, kwa mtazamo wangu nitasaini nao MOU, wao watafanya kazi wakiwa kule kule kwao.Wahindi ata Tigo na wengine uwatumiaga kwenye matangazo! Kuna mwaka mmoja kuna kampuni ya kuzalisha Movies niliwaleteaga Muhindi akapiga kazi fresh akarudi kwao. Wahindi 1. Nyumba ya Kukaa 2. Work permit $2500 3. Usafiri 4. Kwa mwezi si chini ya $4000-5000 kama mshahara
Kuna Wahindi unawatumia Script na story board yako wanapiga kazi huko huko Mumbay wanakutumia kazi huku- unaweza anza na hiyo mode then ukiwa sawa kifedha unawaleta! Ila akuna sababu ya kuimport Tanzania kwa sasa inazalisha zaidi ya animinators 40 kwa mwakaNiko mbioni kuingia ubia na wachina au wahindi, ili kuweza kufanikisha project kwa sababu kule wako wengi
Hapo sawaNi gharama kuwaleta, kwa mtazamo wangu nitasaini nao MOU, wao watafanya kazi wakiwa kule kule kwao.
Hii itapunguza gharama za uendeshaji, pia soko langu kubwa nategemea liwe huko nje, kuwatumia wao kunaweza pia kunirahisishia baadhi ya malengo.Kuna Wahindi unawatumia Script na story board yako wanapiga kazi huko huko Mumbay wanakutumia kazi huku- unaweza anza na hiyo mode then ukiwa sawa kifedha unawaleta! Ila akuna sababu ya kuimport Tanzania kwa sasa inazalisha zaidi ya animinators 40 kwa mwaka
Kuna mmoja anaweza kufanya na wewe ila kwa project- unampa Project anaifanya mkishakubaliana then ndo unamlipa. Kama utahitaji ntakulink nae. Nna few show real zake kwa laptop yangu ila kama utani pm no yako ya Whatsup ntampa atakutumia few animation zake ucheck kwanzaHii itapunguza gharama za uendeshaji, pia soko langu kubwa nategemea liwe huko nje, kuwatumia wao kunaweza pia kunirahisishia baadhi ya malengo.