Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 41,598
- 65,049
Hapana, kama nitapata wajuzi wanaoitaji ajira niko tayari kufanya nao kazi, ajira ni full time.Sio biashara ya shule mkuu kweli hii
Nipe specifications za pc inayofaa kwa animation MkuuHapana, kama nitapata wajuzi wanaoitaji ajira niko tayari kufanya nao kazi, ajira ni full time.
Ikiwa angalau core i5 sio mbayaNipe specifications za pc inayofaa kwa animation Mkuu
Tunataka kazi hatutaki maneno; tengeneza hii 'clip' iwe kama usaili kwako nikupe ajira:-Unachekesha kweli, Wenye ujuzi huo hawahangaiki kutafutwa eti uwape kazi 😄 Wenye ujuzi unatoa tenda unafanya malipo unafanyiwa kazi yako, Sema hauna uwezo wa kuwalipa wala hauna ujuzi wowote, Acha janja janja!
Fanya malipo kwanza, Details za account zipo, gharama ni 1,250,000/=, Nobody will sit and waste time mwisho uingie mitini! Hakuna professional anayefanya kazi kabla ya malipo! Professionals wanakubaliana unafanya malipo at least 50% na 50% after work, Straight & clear.Acha janja janja, Email yenyewe ni Gmail instead of corporate Email 😄Tunataka kazi hatutaki maneno; tengeneza hii 'clip' iwe kama usaili kwako nikupe ajira:-
Tengeneza 'clip' ya animation 2D yenye maudhui yafuatayo na utume kwenye email: businessideas2f@gmail.com
character wawe na muonekano wa majina yao.
Maudhui:
Orange : Habari za asubuhi rafiki yangu mzee 'Mango'
Mango : Salama tu,umeamkaje, habari za tangu jana?
Orange: Mbaya tu, jana nilishinda njaa na hata leo sina uhakika wa kula...
Mango: Pole sana rafiki yangu,nitakupeleka kwa rafiki yangu mzee 'Lemon',alinidokeza nimsaidie kupata watu wa kumsaidia kuvuna mazao yake shambani, kwa ujira wa shilingi elfu tano kwa siku; nadhani kazi hiyo itakufaa....
Orange: Nashukuru sana rafiki yangu, hiyo kazi itanifaa hebu tufanye haraka asije akapata mtu mwingine nami nikakosa kazi
Kazi inatakiwa ijitangaze kwanza; ingia fb search, looking for animators, uone watu wa nje wanavyoonyesha kazi walizofanya; sisi weusi blah blah nyingi kazi sifuriFanya malipo kwanza, Details za account zipo, gharama ni 1,250,000/=, Nobody will sit and waste time mwisho uingie mitini! Hakuna professional anayefanya kazi kabla ya malipo! Professionals wanakubaliana unafanya malipo at least 50% na 50% after work, Straight & clear.Acha janja janja, Email yenyewe ni Gmail instead of corporate Email 😄
Hiii vita vitano , tengeneza mzee hafu iwe copylights Ili jamaa akitumia ndivyo sivyo humshitaki na kumdai malipo,Fanya malipo kwanza, Details za account zipo, gharama ni 1,250,000/=, Nobody will sit and waste time mwisho uingie mitini! Hakuna professional anayefanya kazi kabla ya malipo! Professionals wanakubaliana unafanya malipo at least 50% na 50% after work, Straight & clear.Acha janja janja, Email yenyewe ni Gmail instead of corporate Email [emoji1]
Mkuu animation as is wala sio ngumu kuliko kuwa na idea ya uchoraji na artistic mind; with the availability of softwares (blender; Harmony na Toon Boom Harmony na Moho animation part imekuwa simplified kiasi kwamba amateur yoyote anaweza kufanya..., kuchezesha jicho au mdomo sio tatizo baada ya kutengeneza all the stages za jicho (shut, close na partial close)Kuna kipindi nilileta uzi wa kutafuta 'animators'/ watengenezaji wa video za katuni; Sikufanikiwa kupata wajuzi, ili niweze kuwapa ajira.
Mbona hapa ni kama umebuni njia ya kujipatia wewe ujira na sio wao kuwapa ujira
Nimegundua hii 'field' wengi hawana ujuzi, kwa hiyo nimekuja na mkakati mwingine wa kuwapata hawa wajuzi, ambao itabidi wajifunze kwa 'online' kwa gharama zao, ambao nitawapatia mwalimu wa kuwafundisha.
Kwahio unataka watu ambao hawajui ili uwafundishe ili wajue ili uwape kazi wafanye kazi yako ?
Kwa sasa wanatakiwa vijana watano (5) wenye mautundu katika computer, wawe na laptop yenye uwezo; baada ya kujua vizuri nitafanya nao kazi.
Wenye nia, karibuni.
Tunataka kazi hatutaki maneno; tengeneza hii 'clip' iwe kama usaili kwako nikupe ajira:-
Tengeneza 'clip' ya animation 2D yenye maudhui yafuatayo na utume kwenye email: businessideas2f@gmail.com
character wawe na muonekano wa majina yao.
Maudhui:
Orange : Habari za asubuhi rafiki yangu mzee 'Mango'
Mango : Salama tu,umeamkaje, habari za tangu jana?
Orange: Mbaya tu, jana nilishinda njaa na hata leo sina uhakika wa kula...
Mango: Pole sana rafiki yangu,nitakupeleka kwa rafiki yangu mzee 'Lemon',alinidokeza nimsaidie kupata watu wa kumsaidia kuvuna mazao yake shambani, kwa ujira wa shilingi elfu tano kwa siku; nadhani kazi hiyo itakufaa....
Orange: Nashukuru sana rafiki yangu, hiyo kazi itanifaa hebu tufanye haraka asije akapata mtu mwingine nami nikakosa kazi
Uko sahihiSizani kama kuna mtu anaejua animation vizuri halafu akatafuta ajira za kibongo.
Ni sawa umfate masanii wa bongo fleva mwenye jina umwambie njoo nikuajiri uwe unaimba bongo fleva.
Ukijua animation vizuri huwezi kuwaza kuajiriwa.. bongo fursa za animation nyingi sana. Sababu wanaojua ni wachache hakuna ushindani
Afanye hii clip kama usaili, akifanikiwa tutaongea kuhusu ujira;Vijana wako ,unalipaje mkuu nikupe vijana.unataka wanaofanya modelling ,animation ama awe kamili kote.
Omba portfolio na samples za kazi upatiwe, Lakini sio ufanyiwe kazi yako binafsi bila malipo.Kazi inatakiwa ijitangaze kwanza; ingia fb search, looking for animators, uone watu wa nje wanavyoonyesha kazi walizofanya; sisi weusi blah blah nyingi kazi sifuri
Hii ni kazi ambayo ina timu kubwa ya watu; ila kwa sasa mtu muhimu zaidi ambaye ni mzalishaji ni 'animator'Mkuu animation as is wala sio ngumu kuliko kuwa na idea ya uchoraji na artistic mind; with the availability of softwares (blender; Harmony na Toon Boom Harmony na Moho animation part imekuwa simplified kiasi kwamba amateur yoyote anaweza kufanya..., kuchezesha jicho au mdomo sio tatizo baada ya kutengeneza all the stages za jicho (shut, close na partial close)
Mbona hapa ni kama umebuni njia ya kujipatia wewe ujira na sio wao kuwapa ujira
Kwahio unataka watu ambao hawajui ili uwafundishe ili wajue ili uwape kazi wafanye kazi yako ?
Kazi yako ni ipi ?, Kufundisha au una idea kazi ambayo kazi ikifanyika una sehemu ya kuuza hio kazi ?
Mfano tukija kwenye Mickey Mouse; Kazi ilifanyika kubuni huyo Mickey na kumfanya a brand name baada ya hapo ni story / plot inayofanya watu wamuangalie huyo Mickey sasa kama watu unataka wakupe Mickey kwa ujira wakishakupa huyo Mickey utahitaji zaidi wadau wa animation au watundu wa story / humour / plot
Unaweza kuona wale The Simpsons ukawachukulia Poa; lakini behind Homer na wadau wake, Kuna Producers, writers and story tellers ambao wanakaa na kubuni na kubuni hio kuweka kwenye season ni hatua ya mwisho.... Episode moja ya Simpson mpaka iwe tayari inaweza ikachuku hata miezi nane (ofcourse unaweza ukafanya yako a One Man Army na kutoa kitu ila kisipokuwa na popularity ya Simpson usishangae)
Kama anahitaji kuona portfolio na samples anaweza kuomba akapatiwa, lakini sio kufanyiwa kazi yake binafsi.Nobody will waste time on that.Hiii vita vitano , tengeneza mzee hafu iwe copylights Ili jamaa akitumia ndivyo sivyo humshitaki na kumdai malipo,
Tatizo wataweka kazi za watu ambazo wao hawajafanyaOmba portfolio na samples za kazi upatiwe, Lakini sio ufanyiwe kazi yako binafsi bila malipo.